Ushauri kwa Sabaya: Acha! Huko unakokwenda siko

Ushauri kwa Sabaya: Acha! Huko unakokwenda siko

Mbona mnaingilia uhuru wa mahakama kushughulikia kesi na uhuru wa mtuhumiwa kujitetea!?
====
Hii wapi dhana ya kuhubiri uhuru wa vyombo vya kutoa maamuzi ikiwemo mahakama?
Mnaangukia padogo sana!
Hayana akili. Yanasoma utetezi halafu yanaona majina ya viongozi tu bila kujua yametokeaje.
 
Nachojua hakuna alipopigiwa simu kuagizwa hayo, isipokua majina aliyotaja kamwe haya wezi kusimama mahakamani kutoa ushahidi so anahisi atachomokea hapo
Tulieni mahakama ifanye kazi yake. Sidhani kama, nawe ni mmoja wa jopo la waendesha mashtaka!
 
Issue ni kwamba anawachafua tu lakini nina uhakika hana credible and reliable evidence kwasababu hata kama ni kweli basi alikuwa anapigiwa tu simu na kupewa maelekezo naye akawa anaingia mzima mzima, atulize tu mshono afe kiume. Hizo mambo za kuanza kutaja majina makubwa haiwezi kuwa kinga kwake na sio sababu ya yeye kutenda makosa ya wazi. Ina maana wangemwambia ainame na chupi mkononi angeinama?
Ndio angebinjua
 
Mimi niliyewahi kufanya kazi ya umafia ni kosa ambalo halisameheki kumtaja bosi wako. Inatakiwa upambane mwenyewe na kukiri ni wewe tu hujui zaidi, halafu mabosi zako ndo wanafanya umafia wa kukuokoa
Lakini baada ya kuwa mmekubaliana,uwenda maafisa vipenyo wamemgutua dogo yaani baada ya maboss hao kuombwa uokozi wakajitenga, akaona bwanae liwalo naliwe.

Ninachojua mimi kwenye ulimwengu wa kisasa, huyu dogo atapaswa apotezww haraka sana, kabla hajachafua zaidi,maana kwa jinsi hii anaweza kumtaja hadi rais tena kwa ushahidi wa uongo na kusema 'Mama Samia alikuwepo wakati nakutana na Mpango na ndiye alileta agizo la Rais, tuloenda kumpiga risasi Tundu Lisu ukapangwa Mkakati Samia aende Nairobi lakini ile ilikiwa zuga'

Hapo ndo utajua kwanini mbwa huwa havai Kaptura
 
... more precisely; anamaanisha yeye ni mbuzi wa kafara tu maana alikuwa anatumwa na amiri jeshi Mkuu mwenye majeshi na zana zote. Kuna tofauti gani na utawala wa Idd Amin? Amin angekutuma kweli ukatae? Huwezi kuwa hata na wazo hilo.
watamuuliza where is the evidence ya kutumwa huko. maana mtu akikutuma kwa simu ni rahis sana ku kana maana hakuna physical evidence itakayodhibitha hivyo
 
Mimi niliyewahi kufanya kazi ya umafia ni kosa ambalo halisameheki kumtaja bosi wako. Inatakiwa upambane mwenyewe na kukiri ni wewe tu hujui zaidi, halafu mabosi zako ndo wanafanya umafia wa kukuokoa
Hapo ni pale ambapo umeshtakiwa na second part. Sasa hii ya kushtakiwa na first part unarembaje?
 
Nimefurahi sana Mpango na Luoga kutajwa , waje wajitetee tuone , tulionya kuhusu uteuzi wa Dr Mpango kuwa Makamu wa Rais , hii ni kwa sababu huyu alihusika na uporaji wote wa fedha za watu kuanzia kwenye akaunti zao hadi Bureu De Change
Ki ukweli kabisa mpango hakua na sifa za kua vp
 
Tafsiri na maana ya utetezi huu wa Ole Lengai Sabaya, ni kuwa anakubali kuwa ALITENDA MAKOSA HAYO YOTE anayotuhumiwa nayo ila ALIKUWA ANATUMWA na Magufuli Rais wa ñchi wakati huo...!!

Mpaka hapo mtu yeyote anaweza kuona jinsi ambavyo mshitakiwa anaamua kujinyonga mwenyewe aidha kwa kujua au kwa kutojua...!

Kama akiendelea hivi, basi hakimu hawezi kufikiri mara mbilimbili kumtia hatiani huyu jambazi wa kutumwa na kumpa mvua kadhaa...
 
Hata sauti za simu ni ushahidi. Acheni kujifanya wenye akili kuliko watu wengine. Someni pia utetezi wa sabaya vizuri.
Yaani wame comment wachangiaji zaidi ya 40, kumbe mwenye kutafakari utetezi wa Sabaya ni wewe tuu. You are more capable to carefully listen to Sabaya's defence than 40 together who have commented,
 
Kijana Sabaya hayo unayoropoka mahakamani hayana faida kwako wala kwa hao unaowataja.

Kama bosi wako alikua anakutuma kufanya ujambazi na wewe ukadhani unayo kinga kama yeye basi huo ulikua ni upumbavu wako.

Ulipaswa kutekeleza majukumu hayo kwa akili ja weledi wa hali ya juu bila kujiweka matatizoni.

Kwenye umafia kuna kitu kinaitwa 'tying loose ends'. Hao unaowataja taja mahakamani kuwa walikua wanakutuma kwenye uhalifu wako hawawezi kulifurahia kupakwa tope la ujambazi wako.

They will be forced to tie loose ends, which is you and your little gang of stooges. Be a pro, take a fall for the team and go quietly, your bosses might remember you after a while and rescue you.
Well said! He should take it like a man!🙂
 
Back
Top Bottom