Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba "MPYA" ndo JibuHawalipi kutoka na previleges walizopewa kwa mujibu wa katiba na sheria za Nchi.
Wananchi wana elimu ya kutosha, hivyo serikali inapaswa kuwasikiliza. Elimu sio barabara ya njia moja. Hata serikali ina mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa wananchi na serikali zingine zilizofanikiwa.Hilo ndio jambo la muhimu na serikali pia iongeze juhudi ktk kuelimisha wananchi pamoja na kuweka uwazi kwenye matumizi ya kodi hizo.
Unaelewa double taxation ni nini?Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.
Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi unaoliandama sio tu afrika bali dunia nzima kutokana na majanga ya Uviko-19 na vita ya Urusi huko Ukraine.
Mtu anayepinga Tozo na Kodi maana yake anapinga Serikali isijenge vituo vya afya na kuboresha huduma za Mama na watoto.
Mtu anayepinga tozo na kodi maana yake anapinga serikali isijenge miundo mbinu ya barabara madaraja na majengo.
Ukipinga tozo na kodi maana yake unapinga serikali isikusanye mapato kwa ajiri ya mishahara ya watumishi, malipo ya huduma mbali mbali kwa wananchi maskini ikiwemo pension kwa wazee.
Mimi naishauri serikali kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa tozo na kodi ili iweze kupokelewa vyema na wananchi woote na yule atakayw rudisha nyuma harakati hizi basi achukuliwe hatua stahiki.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendeleee
Ingekua vizuri kama ungeshauri wanaobainika kufuja mali za umma na mafisadi wafilisiwe mali zao ingekua vizuri zaidi. Kuliko kupambania kulipa tozo alafu wakazifaidi wachache.Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.
Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi unaoliandama sio tu afrika bali dunia nzima kutokana na majanga ya Uviko-19 na vita ya Urusi huko Ukraine.
Mtu anayepinga Tozo na Kodi maana yake anapinga Serikali isijenge vituo vya afya na kuboresha huduma za Mama na watoto.
Mtu anayepinga tozo na kodi maana yake anapinga serikali isijenge miundo mbinu ya barabara madaraja na majengo.
Ukipinga tozo na kodi maana yake unapinga serikali isikusanye mapato kwa ajiri ya mishahara ya watumishi, malipo ya huduma mbali mbali kwa wananchi maskini ikiwemo pension kwa wazee.
Mimi naishauri serikali kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa tozo na kodi ili iweze kupokelewa vyema na wananchi woote na yule atakayw rudisha nyuma harakati hizi basi achukuliwe hatua stahiki.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendeleee
Uongozi ni mfano, kwanini hawakuwekwa wawe mfano kwenye kila jambo jema la kizalendo?Hawalipi kutoka na previleges walizopewa kwa mujibu wa katiba na sheria za Nchi.
HakikaIngekua vizuri kama ungeshauri wanaobainika kufuja mali za umma na mafisadi wafilisiwe mali zao ingekua vizuri zaidi. Kuliko kupambania kulipa tozo alafu wakazifaidi wachache.
Nchi yetu huru hivyo usitutishe,tunao uhuru Kwa mujibu wa sheria kuongea na kutoa maoni na mawazo yetu,pia tunaamini katika utawala wa sheria na SII wamabavu.Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.
Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi unaoliandama sio tu afrika bali dunia nzima kutokana na majanga ya Uviko-19 na vita ya Urusi huko Ukraine.
Mtu anayepinga Tozo na Kodi maana yake anapinga Serikali isijenge vituo vya afya na kuboresha huduma za Mama na watoto.
Mtu anayepinga tozo na kodi maana yake anapinga serikali isijenge miundo mbinu ya barabara madaraja na majengo.
Ukipinga tozo na kodi maana yake unapinga serikali isikusanye mapato kwa ajiri ya mishahara ya watumishi, malipo ya huduma mbali mbali kwa wananchi maskini ikiwemo pension kwa wazee.
Mimi naishauri serikali kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa tozo na kodi ili iweze kupokelewa vyema na wananchi woote na yule atakayw rudisha nyuma harakati hizi basi achukuliwe hatua stahiki.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendeleee
Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.
Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi unaoliandama sio tu afrika bali dunia nzima kutokana na majanga ya Uviko-19 na vita ya Urusi huko Ukraine.
Mtu anayepinga Tozo na Kodi maana yake anapinga Serikali isijenge vituo vya afya na kuboresha huduma za Mama na watoto.
Mtu anayepinga tozo na kodi maana yake anapinga serikali isijenge miundo mbinu ya barabara madaraja na majengo.
Ukipinga tozo na kodi maana yake unapinga serikali isikusanye mapato kwa ajiri ya mishahara ya watumishi, malipo ya huduma mbali mbali kwa wananchi maskini ikiwemo pension kwa wazee.
Mimi naishauri serikali kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa tozo na kodi ili iweze kupokelewa vyema na wananchi woote na yule atakayw rudisha nyuma harakati hizi basi achukuliwe hatua stahiki.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendeleee
Tatizo ni wenye nyumba, watakubali kupokea kiasi kinachobaki baada ya kulipa tozo?Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.