Ushauri kwa Serikali na Huduma za Jamii Tanzania

Wewe usiye CCM chama chako kimefanya nini toka kianzishwe?
 
Ukawashitaki Kwa nani wakati walikwisha kuambiwa wale Kwa urefu wa kamba yao na mama yenu ? 😂😂
 
Rais mwenyewe akiwa ziarani huko mikoani hataki kusikiliza shida na malalamiko ya wananchi wake . Anaishia kusema malalamiko Wapelekewe wasaidizi wake . Yaani anakabidhi ng'ombe amlindie majani 😂😂😂
 
Akili imekukaa sawa sasa,mbona hayo madudu yakisemwa humu huwa unashupaza shingo kwa kutetea serikali.
Kwaiyo umekubali kuwa Samia kashindwa kuongoza nchi?[emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
CCM oyee![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado ujasema,na utasema tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unazunguka sana;sema Samia ajiuzulu maana ameshindwa kazi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mi nilifikiri utatoa mapendekezo ya kunyonga wala RUSHWA. Kumbe unapendekeza RUSHWA ihalalishwe. We ni Bure kabisa
 
Suala la rushwa ni kwa serikali karibu zote za Afrika. Lazima tutibu kwanza mzizi wa tatizo.

Mishahara mingi ya wafanyakazi wa serikali ipo chini haikidhi uhalisia wa maisha.Hivyo wanajiongeza kwa kuomba rushwa.
Nadhani wadogo wanajiongeza kweli maana wakubwa huko siasani wanahomondola miposho kweli kweli !!
 
Hatar sana. !
 
Kuna V8 nimeiona Majaliwa anatumia,haloo hii nchi ililaaniwa,inakuaje nchi masikini yenye huduma duni za jamii viongozi wanatumia magari ya kifahari namna ile.
Majaliwa alikwenda Japan akapokewa na Toyota Crown ambazo ni official kwa viongozi wa Ikulu ya Japan; kwanini taifa linalotengeneza V8 viongozi wake hawatumii?jibu ni rahisi wanaepusha gharama Ili kuwahudumia raia wao!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Akili imekukaa sawa sasa,mbona hayo madudu yakisemwa humu huwa unashupaza shingo kwa kutetea serikali.
Kwaiyo umekubali kuwa Samia kashindwa kuongoza nchi?[emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kitu unachoshindwa kuelewa wala sikushangai, nafahamu umejaa ujinga.

Nafahamu huu ujumbe kwa maono yako ni mzito sana kuuelewa.
 
CCM ni laana tupu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…