Hongera sana dada yangu, na nakuomba unisamehe sana pale ninapokutukanaga kuwa una mdomo mchafu kila unapomsemaga vibaya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, kwa lile neno lako lile!. Nimekuomba msamaha kwasababu kwa hesabu hizo kwa vile wewe umeingia CCM mwaka 1977, mimi nimeingia CCM mwaka 1987, hivyo umenipita miaka zaidi ya 10, na hivi sasa mimi naelekea miaka 60, inamaana wewe you are over 70!, sio vizuri kumtukana mtu aliyekuzidi umri hata kama amekosea!, nakuomba dada yangu
FaizaFoxy , jitahidi uwe kama Alamaa, Mkuu Maalim
Mohamed Said , hata atukanwe vipi kwenye minakasha yake, kamwe huwezi kumsikia akijibu kwa lugha ya machukizo, ni mtu anayetumia lugha ya staha wakati wote, ili tuufaidi ukubwa dawa wako badilika dada yangu, ila yale mambo mengine ya kwangu ya moyoni kukuhusu wewe, japo you might be over 70!, yale yako pale pale!, kwangu kwenye yale, age ain't nothing but a number!.
Naunga mkono, ni ngumu kuzifikisha kero zetu kwenye vikao, kwasababu huku ngazi za chini, vikao statutory havifanyiki, mpaka wakati wa uchaguzi, na hata ukifikisha hazifikishwi juu kwenye ngazi za maamuzi, namna nzuri pekee ya kuzifikisha hoja zako kwenye ngazi ya maamuzi ni kujaza fomu kugombea uongozi wa nafasi yoyote ya Kitaifa, kwenye hiyo fomu unamwaga dukuduku lako lote, wakati wa vikao, kukujadili wataziana na kuzipeleka mbele.
Nakuunga mkono asilimia 100% chini ya 100%.
Naunga mkono hoja, kila kitu kilipiwe just a token money!. Juzi kati nimeenda Hospital moja ya wilaya kuanza mchakato wa kupima DNA, nikaelekezwa lazima wote watatu tuandikishwe, nikapewa control number kulipia 10,000 each, x 3= 30 tumeingia kwa Daktari we hardly spent two minutes akatupa referral ya Muhimbili, kufika kule unaanza upya, unalipa upya unamuona Daktari Specialist 50,000 x3 = 150,000, analetewa watu wa social, kisha unakuwa referred kwa Mkemia Mkuu, unaanza upya kuandikisha upya kule ni 100,000 x 3=300,000 + 100,000 ya wakili!, jumla kuu ni 580,000!. Watanzania wangapi wana uwezo huu?.
Hili la kuhalalisha rushwa, nilitoa ushauri kwenye kikao cha CCM wilaya ya Kinondoni waruhusu rasmi takrima, na itangazwe wazi wazi mimi nikatangaza dau la milioni 10 kila kata.
Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
P