Ushauri kwa Serikali na Huduma za Jamii Tanzania

bado hujasema....na utasema.
 
Chama changu kinakusanya Kodi kutoka kwa wananchi?
Kama huna ujanja, kaa kimya. Kuna NGO kibao hazikusanyi kodi lakini zinafanyakazi nyingi sana kwa jamii. Hata watu binafsi wengi tu.

Ji chama zima linalopokea ruzuku hata mfano mdogo mnashindwa kuuonesha?
 
Chama changu kinakusanya Kodi kutoka kwa wananchi?
Kama huna ujanja, kaa kimya. Kuna NGO kibao hazikusanyi kodi lakini zinafanyakazi nyingi sana kwa jamii. Hata watu binafsi wengi tu.

Ji chama zima linalopokea ruzuku hata mfano mdogo mnashindwa kuuonesha?
 
Ni mawazo yako. Ila nakukumbusha tu kuwa hiyo siyo dawa ya kutibu Rushwa. Ni huduma ngapi watu wanalipia ila bado rushwa watu wanatoa? Shuleni, vyuoni, hospitalini.

Kupambana na rushwa ni kutangazi vita na watanzania wengi wanaoishi kwa rushwa. Lazima ujitoe muhanga.
 
Ujue mie nachoshangaa ni kwamba pamoja na kuwalipa mishahara minono na miposho hao viongozi pamoja na kugharamia maisha yao ya kifahari kwa kodi zetu ila bado wanafanya ufisadi na ufanisi wao wa kazi ni mbovu, sasa sijaelewa kilikusudiwa nini kwa kufanya viongozi walipwe mishahara mikubwa na bado wakapewa huduma zote muhimu bure?
 
Umenena kwa Hekima Sana yaani kuliko kuzubaishwa Bora ulipie tu
 
CCM ni adui wa taifa hili
 
Binafsi ni mwana CCM kindakindaki tokea ilipobuniwa 1977, kabla ya hapo nilikuwa TANU Youth League.
Hongera sana dada yangu, na nakuomba unisamehe sana pale ninapokutukanaga kuwa una mdomo mchafu kila unapomsemaga vibaya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, kwa lile neno lako lile!. Nimekuomba msamaha kwasababu kwa hesabu hizo kwa vile wewe umeingia CCM mwaka 1977, mimi nimeingia CCM mwaka 1987, hivyo umenipita miaka zaidi ya 10, na hivi sasa mimi naelekea miaka 60, inamaana wewe you are over 70!, sio vizuri kumtukana mtu aliyekuzidi umri hata kama amekosea!, nakuomba dada yangu FaizaFoxy , jitahidi uwe kama Alamaa, Mkuu Maalim Mohamed Said , hata atukanwe vipi kwenye minakasha yake, kamwe huwezi kumsikia akijibu kwa lugha ya machukizo, ni mtu anayetumia lugha ya staha wakati wote, ili tuufaidi ukubwa dawa wako badilika dada yangu, ila yale mambo mengine ya kwangu ya moyoni kukuhusu wewe, japo you might be over 70!, yale yako pale pale!, kwangu kwenye yale, age ain't nothing but a number!.
Naunga mkono, ni ngumu kuzifikisha kero zetu kwenye vikao, kwasababu huku ngazi za chini, vikao statutory havifanyiki, mpaka wakati wa uchaguzi, na hata ukifikisha hazifikishwi juu kwenye ngazi za maamuzi, namna nzuri pekee ya kuzifikisha hoja zako kwenye ngazi ya maamuzi ni kujaza fomu kugombea uongozi wa nafasi yoyote ya Kitaifa, kwenye hiyo fomu unamwaga dukuduku lako lote, wakati wa vikao, kukujadili wataziana na kuzipeleka mbele.
Nakuunga mkono asilimia 100% chini ya 100%.
Naunga mkono hoja, kila kitu kilipiwe just a token money!. Juzi kati nimeenda Hospital moja ya wilaya kuanza mchakato wa kupima DNA, nikaelekezwa lazima wote watatu tuandikishwe, nikapewa control number kulipia 10,000 each, x 3= 30 tumeingia kwa Daktari we hardly spent two minutes akatupa referral ya Muhimbili, kufika kule unaanza upya, unalipa upya unamuona Daktari Specialist 50,000 x3 = 150,000, analetewa watu wa social, kisha unakuwa referred kwa Mkemia Mkuu, unaanza upya kuandikisha upya kule ni 100,000 x 3=300,000 + 100,000 ya wakili!, jumla kuu ni 580,000!. Watanzania wangapi wana uwezo huu?.
Hili la kuhalalisha rushwa, nilitoa ushauri kwenye kikao cha CCM wilaya ya Kinondoni waruhusu rasmi takrima, na itangazwe wazi wazi mimi nikatangaza dau la milioni 10 kila kata.
Kauli za viongozi kama zile za "za polish ya viatu", "kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake" zimekuwa zikihalalisha rushwa kiaina, sasa iwe ni wazi kabisa ihalalishwe kwa kuzilipia hizo huduma.
Naunga mkono hoja
Polisi, mahakama, uhamiaji, ardhi, huduma zote za bure za manispaa. Ongezea na wewe kwengine.

Tunataka tuwe ni wateja rasmi wenye kuweza kudai haki zetu tunaponyimwa huduma kwa wakati.
Naunga mkono hoja
P
 
Mama aliruhusu watu wale kwa urefu wa kamba zao kwa "Mbongo" hiyo ni rukhsa.
 
Uongo mtupu,hakuna rushwa yoyote.ccm ni chama makini.na kinapinga rushwa waziwazi.kama kweli nenda takukuru
 
Usijali, nimekuelewa. Ntafata falsafa ya mama Samia, ambayo nnauhakika 100% ni falsafa ya Kiislam.

Reconciliation, Resilience. Reform, Rebuilding.

Yameisha, tusameheane. No grudges.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…