Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu


Hii inahusiana vipi na mada yako?
 
Sipo kwaajili ya kuteuliwa. Jimbo langu lenyewe linanihitaji sana nigombee ubunge. Na nikigombea napita bila kupingwa.
 
Sasa huko wanakokimbilia huko ndiko ambako kunaharibu usalama wa taifa (National Security) so for the interests of our nation ili wasije wakatuharibia zaidi dawa nikunyang'anya passport ili wasisafiri kwenda huko.

Nazani unakumbumbuku kukamatwa kwa ndege zetu, kuziiliwa kwa zile fedha kutoka benk ya dunia n. k. Zote hizi ndizo interests za taifa nazozilenga hapo
 
Tulia chanjo ikuingie wewe,
 
Huo mpango wa kumnyan'ganya Lisu paspoti tayari upo, unajifanya kuweka hapa hii post hapa, ili ujifanye ww ndio uliyeshauri. Pumbavu kabisa.
Hahahaaaaaaa, mimi sijamsema Lisu hata wewe unanyang'anywe passport yako.
 

Inaonekana hujui hata kodi ni nini ww punga, kwa taarifa yako kila mtu nchi hii analipa kodi. Ukinunua bidhaa yoyote umelipa Kodi, ukipanda chombo chochote cha usafiri umelipa kodi, ukinunua voucher, luku nk tayari umelipa kodi. Lakini kwakuwa ww ni zoba fulani, unadhani ww peke yako ndio unalipa kodi kwa kuleta uzalendo uchwara. Hata wageni ambao hawana huo upuuzi unaouita uzalendo wanalipa kodi. Kenge mkubwa ww.
 
shida nchi hii haina Vita hivyo mnawashwawashwa kweli kufanya kwa vitendo,Yale mazoezi mnaona ndo wazalendo kweli nyinyi msiolipa Kodi siku ikikosekana pesa ya kuwapa posho,mishahara na mkapanda daladala kwa kulipa nauli mtaelewa wananchi wanachopigia kelele kila siku
 
Kazi ya Askari ni kutii maagizo ya wanasiasa kwa maslai ya mwanasiasa,thus ukawa huko.
Ulitakiwa uishi zama za Giza sio hizi.
Hizi Ni zama za hoja ujibiwa kwa hoja.
Mwanadamu yeyeto anapokwenda kinyume na taratibu zimpasazo ni wajibu kukumbushwa.
 
Mtoa mada ni mpuudhi na very narrow minded.
Kwanza unajua watanzania wangapi wanamiliki passport?
Kuna watanzania wengi tu wanamtukana au kumdhihaki jiwe mitandao na hawamiliki passport ukilinganisha na wanaomiliki passport.
Kutukana (insult) ni tusi kwa mujibu wa penal code na lina adhabu zake ikithibitika mahakamani,
Na adhabu sio kumnyanganya mtuhumiwa passport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…