Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
WamekusikiaKuna kipindi kinaitwa the clip .
yani kinakera sana hususani comedian mliyemuweka sio mbunifu hata kidogo anachukua viclip vya wakenya na kuviongelea ongelea hajawahi nisisimua hata kidogo
Kwa ushauri wangu kuliko muweke kipindi cha mc pilipili ni bora muweke kipindi cha mapishi tujifunze kupika kababu na kachori au bagia zitatusaidia hata kunywea chai
Vinginevyo huyo mc pilipili abadili abadili aina ya comed aifanyayo TV1 labda anaweza wavutia watizamaji maana anapoteza muda tu
Japo maneno yangu sio sheria lakini ukweli nmesema
Vipi wewe hujanisikia?Wamekusikia
Hahaha*Natetea uwezo na kipaji cha MC pilipili mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
*Nawawakilisha mashabiki ambao ni wamama wa nyumbani na watoto wa shule wanamkubali sana MC pilipili na wanamjua kiukweli ukweli kwenye kazi zake
Ni kama vile unapouza bidhaa una target soko kutokana na upekee wa bidhaa. Hata kwenye comedy ipo hivyo unaweza kutargetHahaha
Mkuu kwa kipindi cha TV1 unadanganya jamaa huwa hachekeshi
Zaid huwa naishia kumcheka kwa masikitiko ana poteza mda
Kwasababu ni mwl wao
period..
Mkuu joti wa kwenye ubora wake huwez mfananisha na Mc Bilinganya!!!Ni kama vile unapouza bidhaa una target soko kutokana na upekee wa bidhaa. Hata kwenye comedy ipo hivyo unaweza kutarget
JOTI - wakina dada/mashost
Mzee Majuto - Watu wazima
Katarina/ Mpoki - Vijana
MC Pilipili - Watoto na wakina mama
--Vichekesho alivyokuwa akifanya Joti zamani alikuwa anapendwa sana na watoto wadogo eg. Kutembea kijoti
--Vichekesho anavyovifanya Mzee Majuto miaka hii haiwavutii watoto bali watu wazima na vijana.
* Sio tu MC pilipili kuna watu hawapendi kabisa comedy hata mtu achekeshe vipi, wengine hawapendi comedy za watanzania anaangalia kina Mr Bean
Nimekuelewa kabisaVipi wewe hujanisikia?
ShukraniNimekuelewa kabisa
Hata azamStar times mkuu
[emoji23] futuh ipo fresh sana brother k ananimaliza kabisaBora waonyeshe hata futuhi kuliko yule mjinga anachekacheka ovyo tu
StartimeTv1 IPO king'amuz gani?kama azam oops nilitupa huko hamna kitu
Sijawahi kukiona mbona?walikuaga na kipindi kimoja hivi cha kutongozana
mkikubaliana wanawakodia hotel sijui bado kipo
Wewe ndio pilipili mwenyewe nini?Kweli nimeamini JF inaendeshwa kwa mahaba! wote mko negativity tu kwa jamaa duh
Hujakosea kwa kwelBora pilipili mbuzi inamuwasho
Huyu ni pilipili hoho kuuuuubwaaaa ila hawashi