Ni kama vile unapouza bidhaa una target soko kutokana na upekee wa bidhaa. Hata kwenye comedy ipo hivyo unaweza kutarget
JOTI - wakina dada/mashost
Mzee Majuto - Watu wazima
Katarina/ Mpoki - Vijana
MC Pilipili - Watoto na wakina mama
--Vichekesho alivyokuwa akifanya Joti zamani alikuwa anapendwa sana na watoto wadogo eg. Kutembea kijoti
--Vichekesho anavyovifanya Mzee Majuto miaka hii haiwavutii watoto bali watu wazima na vijana.
* Sio tu MC pilipili kuna watu hawapendi kabisa comedy hata mtu achekeshe vipi, wengine hawapendi comedy za watanzania anaangalia kina Mr Bean