Ushauri kwa TV1

Ushauri kwa TV1

Kuna kipindi kinaitwa the clip .
yani kinakera sana hususani comedian mliyemuweka sio mbunifu hata kidogo anachukua viclip vya wakenya na kuviongelea ongelea hajawahi nisisimua hata kidogo

Kwa ushauri wangu kuliko muweke kipindi cha mc pilipili ni bora muweke kipindi cha mapishi tujifunze kupika kababu na kachori au bagia zitatusaidia hata kunywea chai

Vinginevyo huyo mc pilipili abadili abadili aina ya comed aifanyayo TV1 labda anaweza wavutia watizamaji maana anapoteza muda tu

Japo maneno yangu sio sheria lakini ukweli nmesema
Wamekusikia
 
*Natetea uwezo na kipaji cha MC pilipili mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
*Nawawakilisha mashabiki ambao ni wamama wa nyumbani na watoto wa shule wanamkubali sana MC pilipili na wanamjua kiukweli ukweli kwenye kazi zake
Hahaha
Mkuu kwa kipindi cha TV1 unadanganya jamaa huwa hachekeshi
Zaid huwa naishia kumcheka kwa masikitiko ana poteza muda
 
Hahaha
Mkuu kwa kipindi cha TV1 unadanganya jamaa huwa hachekeshi
Zaid huwa naishia kumcheka kwa masikitiko ana poteza mda
Ni kama vile unapouza bidhaa una target soko kutokana na upekee wa bidhaa. Hata kwenye comedy ipo hivyo unaweza kutarget
JOTI - wakina dada/mashost
Mzee Majuto - Watu wazima
Katarina/ Mpoki - Vijana
MC Pilipili - Watoto na wakina mama

--Vichekesho alivyokuwa akifanya Joti zamani alikuwa anapendwa sana na watoto wadogo eg. Kutembea kijoti
--Vichekesho anavyovifanya Mzee Majuto miaka hii haiwavutii watoto bali watu wazima na vijana.
* Sio tu MC pilipili kuna watu hawapendi kabisa comedy hata mtu achekeshe vipi, wengine hawapendi comedy za watanzania anaangalia kina Mr Bean

Kwasababu ni mwl wao

period..
 
Mkuu joti wa kwenye ubora wake huwez mfananisha na Mc Bilinganya!!!
Huyu jamaa nna binamu yangu hapa mdogo tuu akija huwa hatak kumuona huyo jamaa
 
Kweli nimeamini JF inaendeshwa kwa mahaba! wote mko negativity tu kwa jamaa duh
 
Sio wewe tuu hata mimi hata mimi sijawah cheka akichekesha sababu nakuta nishaona wakenya wamenichekesha yan anachokifanya hata hakielewi ,pia hicho tu kipind TV 1 wanatabia ya kurudia kitu tunaangalia tamthilia ikiisha inarudiwa tena sasa huwa wanafikiria nini sijui wanaboa kinyamaa
 
Kwan Tv yako inashika chaneli moja tuu?? Si uweke nyingine kwan lazima uangalie hiyo
 
Back
Top Bottom