vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Kuna tetesi za Feisal kuondoka kwenda Azam, kama lina ukweli basi atakiwe kila la kheri maana mpira ni ajira.
Ila napendekeza uongozi ufanye replacement yake kwa kumchukua mchezaji fundi kutoka Singida big stars atatufaa sana.
Hasa ukizingatia tunaelekea kwenye michezo ya makundi Shirikisho CAF.