Ushauri kwa uongozi wa Yanga

Ushauri kwa uongozi wa Yanga

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
2,474
Reaction score
4,726
Kuna tetesi za Feisal kuondoka kwenda Azam, kama lina ukweli basi atakiwe kila la kheri maana mpira ni ajira.

Ila napendekeza uongozi ufanye replacement yake kwa kumchukua mchezaji fundi kutoka Singida big stars atatufaa sana.

Hasa ukizingatia tunaelekea kwenye michezo ya makundi Shirikisho CAF.
 
Fei Toto akienda Azam Fc atakuwa amejimaliza kisoka. I wish atoke Yanga, na kwenda nje ya nchi! Ila siyo timu kama Azam Fc.

Kama ni suala la maslahi, angekaa tu mezani na klabu yake ili wafikie muafaka.
 
Tumwache afanye maamuzi yake ila Yanga tufanye replacement iliyo bora zaidi ili kuonesha kuwa Yanga inaweza kuishi bila Fei toto na mambo yakaenda sawa zaidi na kuna watu zaidi yake.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Huko sahihi kabisa, tueshimu maamuzi yake nasi tufanye replacement na maisha yaendelee
 
Fei Toto akienda Azam Fc atakuwa amejimaliza kisoka. I wish atoke Yanga, na kwenda nje ya nchi! Ila siyo timu kama Azam Fc.

Kama ni suala la maslahi, angekaa tu mezani na klabu yake ili wafikie muafaka.
Yanga wanadharau sana wachezaji wazawa inawezekana alishakaa sana mezani alichoambulia ndio hiyo 4m anayokula na hapo ukumbuke kuwa mkataba mpya alisaini 2020 tu hapo wakati ambao Kisinda alikuwa anakula 10+ hapo yanga
 
Tumwache afanye maamuzi yake ila Yanga tufanye replacement iliyo bora zaidi ili kuonesha kuwa Yanga inaweza kuishi bila Fei toto na mambo yakaenda sawa zaidi na kuna watu zaidi yake.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Nadhani Feitoto haondoki Yanga ili kuionyesha timu haiwezi kuishi bila yeye ila anaondoka kutokana na maslahi hivyo ungeishauri yanga kuwaongezea mishahara wachezaji wake wengne waliobaki hasa wazawa ili kuonyesha kumbe wana uwezo wa kupata maslahi mazuri wakiwa hapo hapo Jangwani
 
Binafsi najua mpira ni ajira kwa mchezaji yeyote yule hivyo kila upande uangalie namna ya kufikiana muafaka, na mkishindwana basi waachie wanaowezana nae kumpa stahiki zake anazohitaji

Back
Top Bottom