Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Hii nchi bado wasomi wachache si kama tunavyodanganyana vijiweni.
Yes, haiwezekani vijana wote wakaajiriwa na serikali lakini vijana wachache watakaosoma huu Uzi na wengine wengi wanaweza kuajiriwa na serikali.
Unaweza kuwa na kampuni huku ni mwajiriwa.
Unaweza kufungua duka, ukalima n.k huku ukiwa mwajiriwa wa serikali hii.
Cha msingi ni kutumia ufahamu wako mdogo tu kuangalia ni namna gani unaweza kuingia serikalini na kupata check number.
Unaweza kuingia kwa kutumia course mbadala.
Unaangalia fani gani inatoa sana ajira unapitia huko.
Mfano wewe ni account unaweza piga driving unaingia kama dereva maisha yanasonga ukifika kazini unafanya kazi za uhasibu unasubiri recategorizing.
Jamaa mmoja Mtaalamu wa IT nilimshauri akapiga course ya Sheria ya mwaka mmoja akaajiriwa kama afisa mtendaji wa mtaa katika kuripoti akakuta kwa DC kuna shida ya IT officer akakaa pale hajachukua muda kabadilishwa kada kimuundo.
Kuwa makini pia kwenye usajili wa taarifa psrs. Kama ukipata degree kwa kuungaunga angalia ni level ipi wanaajiri kwa wingi kwa hiyo kada yako.
Kwa wanaokwenda kuanza chuo kwa lengo la kuajiriwa waangalie mipango mikakati ya serikali.
Hii haiwahusu sana vijana wa asili ya Asia, kwani wenzetu IQ yao iko juu na wanazaliwa wanakuta ukoo una kampuni nyingi.
Unaweza ukajitosa kwenye kilimo kumbe serikali iko kwenye uvuvi, unaweza kujitosa kwenye madini na gesi kumbe serikali iko kwenye transition kuelekea kwenye sekta ya usafiri na viwanda.
Soma majira. Kila kitu kinawezekana.
2014 niliwashauri vijana wasome Record management, karibu wote walionielewa wako kwenye mirija. Mwingine yuko bungeni.
Sasa record management sio dili kivile maana ina vijana wengi mtaani certificate na diploma mpaka degree wapo.