Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Future billionaire Sija enda shule😀😂Jobless Intelligent businessman umesikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Future billionaire Sija enda shule😀😂Jobless Intelligent businessman umesikia
NendaFuture billionaire Sija enda shule😀😂
Na uzee huu, Nika tafute nini 🤣Nenda
Ilimu dunia haina umriNa uzee huu, Nika tafute nini 🤣
Sitaki shida maana naeza mpasua mwalimu, kisa kuni lazimisha ku solve algebra 😀😂Ilimu dunia haina umri
😂 mwalim mpwayuSitaki shida maana naeza mpasua mwalimu, kisa kuni lazimisha ku solve algebra 😀😂
Bado hujasema hiyo Check number ni nini na ina msaada gani kwa kijana?Hello!
Hii nchi bado wasomi wachache si kama tunavyodanganyana vijiweni.
Yes, haiwezekani vijana wote wakaajiriwa na serikali lakini vijana wachache watakaosoma huu Uzi na wengine wengi wanaweza kuajiriwa na serikali.
Unaweza kuwa na kampuni huku ni mwajiriwa.
Unaweza kufungua duka, ukalima n.k huku ukiwa mwajiriwa wa serikali hii.
Cha msingi ni kutumia ufahamu wako mdogo tu kuangalia ni namna gani unaweza kuingia serikalini na kupata check number.
Unaweza kuingia kwa kutumia course mbadala.
Unaangalia fani gani inatoa sana ajira unapitia huko.
Mfano wewe ni account unaweza piga driving unaingia kama dereva maisha yanasonga ukifika kazini unafanya kazi za uhasibu unasubiri recategorizing.
Jamaa mmoja Mtaalamu wa IT nilimshauri akapiga course ya Sheria ya mwaka mmoja akaajiriwa kama afisa mtendaji wa mtaa katika kuripoti akakuta kwa DC kuna shida ya IT officer akakaa pale hajachukua muda kabadilishwa kada kimuundo.
Kuwa makini pia kwenye usajili wa taarifa psrs. Kama ukipata degree kwa kuungaunga angalia ni level ipi wanaajiri kwa wingi kwa hiyo kada yako.
Kwa wanaokwenda kuanza chuo kwa lengo la kuajiriwa waangalie mipango mikakati ya serikali.
Hii haiwahusu sana vijana wa asili ya Asia, kwani wenzetu IQ yao iko juu na wanazaliwa wanakuta ukoo una kampuni nyingi.
Unaweza ukajitosa kwenye kilimo kumbe serikali iko kwenye uvuvi, unaweza kujitosa kwenye madini na gesi kumbe serikali iko kwenye transition kuelekea kwenye sekta ya usafiri na viwanda.
Soma majira. Kila kitu kinawezekana.
2014 niliwashauri vijana wasome Record management, karibu wote walionielewa wako kwenye mirija. Mwingine yuko bungeni.
Sasa record management sio dili kivile maana ina vijana wengi mtaani certificate na diploma mpaka degree wapo.
Hii, kwahiyo kila mtu anataka aajiriwe kwani?Hello!

Acha mawazo ya kimaskini. Sasa hivi dunia ipo kwenye kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe wewe unawaza udereva. Hiyo kazi itakuja kupungua sana kama sio kutoweka kabisa.Udereva safari aisee, utakula mpaka upagawe
Kwenye mishe nayopiga mahali fulani mnaenda safari, mkifika watumishi mnahenyeka sana, dereva ye katulia zake juu ya usukani full burudani
Mnapambana wee siku nzima mkitoka mnarudi ofisini, ila per diem sawa
Mkifika ofisini utakuta mnashinda na kukesha wiki nzima kusolve tatizo, yeye unakuta tayari kashachukuliwa na kitengo kingine kwenda sehemu nyingine
Kwa kifupi udereva upo vizuri sana kama taasisi yenu (hasa ya serikali) ina safari safari za kutosha
Madereva wananapata hela kuliko maofisa hii ni kweliUdereva safari aisee, utakula mpaka upagawe
Kwenye mishe nayopiga mahali fulani mnaenda safari, mkifika watumishi mnahenyeka sana, dereva ye katulia zake juu ya usukani full burudani
Mnapambana wee siku nzima mkitoka mnarudi ofisini, ila per diem sawa
Mkifika ofisini utakuta mnashinda na kukesha wiki nzima kusolve tatizo, yeye unakuta tayari kashachukuliwa na kitengo kingine kwenda sehemu nyingine
Kwa kifupi udereva upo vizuri sana kama taasisi yenu (hasa ya serikali) ina safari safari za kutosha
Tupeane mawazo ya Kujiajiri, hizo check number ni ngumuHello!
Hii nchi bado wasomi wachache si kama tunavyodanganyana vijiweni.
Yes, haiwezekani vijana wote wakaajiriwa na serikali lakini vijana wachache watakaosoma huu Uzi na wengine wengi wanaweza kuajiriwa na serikali.
Unaweza kuwa na kampuni huku ni mwajiriwa.
Unaweza kufungua duka, ukalima n.k huku ukiwa mwajiriwa wa serikali hii.
Cha msingi ni kutumia ufahamu wako mdogo tu kuangalia ni namna gani unaweza kuingia serikalini na kupata check number.
Unaweza kuingia kwa kutumia course mbadala.
Unaangalia fani gani inatoa sana ajira unapitia huko.
Mfano wewe ni account unaweza piga driving unaingia kama dereva maisha yanasonga ukifika kazini unafanya kazi za uhasibu unasubiri recategorizing.
Jamaa mmoja Mtaalamu wa IT nilimshauri akapiga course ya Sheria ya mwaka mmoja akaajiriwa kama afisa mtendaji wa mtaa katika kuripoti akakuta kwa DC kuna shida ya IT officer akakaa pale hajachukua muda kabadilishwa kada kimuundo.
Kuwa makini pia kwenye usajili wa taarifa psrs. Kama ukipata degree kwa kuungaunga angalia ni level ipi wanaajiri kwa wingi kwa hiyo kada yako.
Kwa wanaokwenda kuanza chuo kwa lengo la kuajiriwa waangalie mipango mikakati ya serikali.
Hii haiwahusu sana vijana wa asili ya Asia, kwani wenzetu IQ yao iko juu na wanazaliwa wanakuta ukoo una kampuni nyingi.
Unaweza ukajitosa kwenye kilimo kumbe serikali iko kwenye uvuvi, unaweza kujitosa kwenye madini na gesi kumbe serikali iko kwenye transition kuelekea kwenye sekta ya usafiri na viwanda.
Soma majira. Kila kitu kinawezekana.
2014 niliwashauri vijana wasome Record management, karibu wote walionielewa wako kwenye mirija. Mwingine yuko bungeni.
Sasa record management sio dili kivile maana ina vijana wengi mtaani certificate na diploma mpaka degree wapo.
Shkamoo Mzee Alfred.Uzi ungeuweka hivi: Vijana mkitaka maisha ya kawaida yanayokaribiana na umasikini tafuta Check Number.
Bahati mbaya sana hizo kazi zote ulizotaja ziko Halmashauri hakuna hata take home ya 800K, Yaani hauingizi hata 30K per day.
Kwa udereva usichukue sample space hio moja yenye safari nyingi, Mfano Dereva wa Mkurugenzi atapiga pesa thats true.. But halmashauri moja ina madavo wangapi? Wakala ina madereva wangapi? wote hamuwezi kupata.
Uzi wako ungewashauri vijana wawe wabunifu, wasikimbilie hizo ajira ambazo hazina hata take home ya 1M.
Otherwise kama huyo kijana hana ndoto kubwa.. anataka ku afford tu bills zake kwa Mbinde.
Alfred
Laki 8 tarehe kama hii unajikuta una buku 70 tu ndo zimebaki.Uzi ungeuweka hivi: Vijana mkitaka maisha ya kawaida yanayokaribiana na umasikini tafuta Check Number.
Bahati mbaya sana hizo kazi zote ulizotaja ziko Halmashauri hakuna hata take home ya 800K, Yaani hauingizi hata 30K per day.
Kwa udereva usichukue sample space hio moja yenye safari nyingi, Mfano Dereva wa Mkurugenzi atapiga pesa thats true.. But halmashauri moja ina madavo wangapi? Wakala ina madereva wangapi? wote hamuwezi kupata.
Uzi wako ungewashauri vijana wawe wabunifu, wasikimbilie hizo ajira ambazo hazina hata take home ya 1M.
Otherwise kama huyo kijana hana ndoto kubwa.. anataka ku afford tu bills zake kwa Mbinde.
Alfred
Marahaba Binti yangu.Shkamoo Mzee Alfred.
au madeni kabisa yaaniLaki 8 tarehe kama hii unajikuta una buku 70 tu ndo zimebaki.