Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

Wengi wao wamekuwa waalimu mtaani na msongo mkubwa wa mawazo hawana ajira huku vyeti vyao zikiwa na div one kali sana One 3 hadi 4
 
Check namba isiwe ya Tamisenga
 
kwema chief mimi Nina elimu ndogo umri 36 nataka nikasome kozi ya fokolift zile kubwa za kubeba container kuhamisha na kupanga nadhani utakuwa umenielewa ukitoa hiyo vipi kuhusu mitambo ya bandari nikasomea nitatoboa Kwa upeo wako unavyoona??.
 
mmmk walah yaaani mi nachukua mshahara wa 350k sijui naonekana vipi mbele ya watu usikute ndio maana nikichukulia mshahara bank ndani matela wananiangalia Kwa huruma..
Mkuu ndio hivyo watu hatufanani lakini pia hakunaga hela ndogo ila kuna elimu/uelewa/upeo mdogo. Kuna watu wanahitaji 10K tu awe millionaire
 
mmmk walah yaaani mi nachukua mshahara wa 350k sijui naonekana vipi mbele ya watu usikute ndio maana nikichukulia mshahara bank ndani matela wananiangalia Kwa huruma..
350,000/- una mkopo mkuu?
 
Acha mawazo ya kimaskini. Sasa hivi dunia ipo kwenye kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe wewe unawaza udereva. Hiyo kazi itakuja kupungua sana kama sio kutoweka kabisa.
Nafikiri utakuwa haujaelewa nachomaanisha, sijasema udereva ndio dili, bali una maslahi yake tofauti na wengi wanavyofikiria kuwa ni kazi isiyo na maslahi kabisa au ya chini mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…