Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuni kwako kwakua umepigwa na Kila ukijaribu kujigeuza unaendekeza kuchezea vichapo lazima uichukie pole sana nenda kalime hii kazi huiwezi#BettingNiUhuni
Kazi ni nini? Umekariri kazi mpaka mtu abebe zege au mpaka mtu awe kwenye kiti cha kuzunguka ofisini?
Kubet ni kazi kama zilivyo kazi zingine, kupata au kukosa hayo ni matokeo. Hata machinga anayezunguka siku nzima hutokea siku kukosa na siku zingine hupata
Umetoa ushauri wa hovyo
Duh!...wakamaria mmemaindi kweli kweli.Mtoa mada mbona umeukimbia uzi wako? Njoo uone majibu ya ulichokileta.
Kazi sio lazima uonekane mtaani unajishuhurisha
Sijawahi kubet tokea nizaliwe na sina mpango huo , kheri nile dagaa daily na kuishi kikapuku kuliko kujiingiza kwenye Kazi haramu wazi wazi.Uhuni kwako kwakua umepigwa lazima uichukie pole sana nenda kalime hii kazi huiwezi
naomba odds 6 mkuuVijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha.
Unakuta unaangalia runinga mara kipindi kinakatishwa kwa tangazo au kumtangaza mshindi wa mchezo wa kubahatisha unaoendeshwa na kituo hicho.
Naomba nikuambie, kamali haijawahi kumnufaisha mtu yoyote isipokuwa kumuongezea umasikini.
Kucheza kamali kunamaliza hela lakini vilevile inamfanya mtu kuwa mlevi. Kipato chake chote anachokipata anawaza kwenda kuchezea kamali.
Ajabu unamkuta mtu hela ya matumizi ya nyumbani anaipeleka kwenye kamali kwa kuamini kuwa ataweza kushinda.
Kamali kwa namna ilivyoandaliwa haina manufaa yoyote kwa mchezaji bali kwa mchezeshaji kwasababu ujanja wote wa kupanga nani ashinde na kwa kiwango gani anao mchezeshaji isipokuwa kwa betting ya mpira ambayo yenyewe vigezo vya kushinda vimewekwa wazi na ni vigumu hasa kwa mchezi kuweza kubashiri.. Sasa usiposhituka utaendelea kuwa masikini kwa kujitakia.
Unakuta mtu akili yake yote masaa 24 kaipelekea kwenye kamali, daaah msiba mkubwa huu kwa taifa na nawaonea huruma sana Watanzania wenzangu waliyonaswa kwenye mtego huu. Watu wanaangamia.Watu wanakuwa masikini.
Nakumbuka siku moja kuna mama mmoja alinipigia simu kumlalamikia mwezi wake ambaye ni mwajiriwa wa Serikali ambaye alikuwa muhanga wa kamali. Mama huyo aliniambia alitamani niongee na mume wake nimshauri maana kila akipata mshahara hakuna anachowaza zaidi ya kwenda kubet. Kuna wakati anarudi nyumbani amemaliza mshahara wote ndani ya siku moja kwa kucheza betting.
Haya ndiyo madhara ya kamali, akili inakuwa imefungwa inawaza ushindi peke yake siyo kushindwa. Agopa sana mtu anayewaza kushinda peke yake anaweza kuweka bondi hadi familia yake kwasababu haamini katika kushindwa. Yeye analiona fungu lililotengwa kwa mshindi ni kama fungu lake linamsubiri. Ni ngumu kubadirisha imani yake.
Hapa ndhani kama taifa kuna ulazima wa kutoa mwongozo na mwelekeo wa vijana na hatma ya nchi yetu. Hakuna nchi yoyote duniani iliyoendelea kwa watu wake kucheza kamali.
Nchi zinaendelea kwa kutengeneza mipango thabiti, usimamizi mzuri wa rasilimali na kuhimiza watu wake kufanya kazi na kulipa kodi.Hakuna njia ya mkato kupata maendeleo.
Serikali itengeneze nyezo rahisi za kupata mitaji kwa vijana na idhibiti tabia kuacha kilipa mikopo yao kwa kuona ni kama ruzuku ya Serikali kwa Vijana. Watu wanatakiwa kujua kuwa ukikopeshwa una wajibu wa kulipa. Biashara ikishamiri vijana watakuwa busy hawatawaza kucheza kamali.
Kamali ni ulevi na ulevi wa kamali unaweza kukufanya uuze mali zako zote moja baada ya nyingine na hivyo kukuacha masikini. Ushindi hauko kwenye matumaini au kuaminishwa kuwa kamali itakutoa kimaisha.
Utajiri una misingi yake. Hakuna mtu aliyeendelea kwa kucheza kamali. Siku zote mali zinazokuja kwa ghafla nazo hutoweka kwa ghafla. Fuatilia washindi wengi wa kamali kama pesa walizoshinda waliweza kufanyia maendeleo. Kwahiyo, ni muhimu kushituka.
Usikubali kulaghaiwa na matangazo mazuri ya kuaminishwa au kuwaona kuna watu wanashinda. Tafuta kazi, tafuta msingi wa mtaji, jua mbinu ya kuwekeza kwenye miradi kwa kuanzia na kidogo ulichonacho. Tengeneza watu wako wa karibu mnaofahamiana tabia na wenye malengo yanayofanana.
Tumia ujuzi ulionao kukuwezesha kupata kianzio cha mtaji. Hakuna aliyezaliwa tajiri bali pesa inatafutwa.
Kazi na fursa ziko nyingi kama utatuliza akili yako vyema. Niliwahi kusema wakati fulani kuwa siyo kila mtu ana jicho la kuona fursa, unaweza kutafuta mtu wa kukushauri cha kufanya na maisha ukafanikiwa.
Vijana wanasema maisha ni timing. Ukishindwa kufanya timing utajikuta unakata tamaa na kujisemea kuwa kwa hapa ulipofika na kwa umri ulionao uwezekano wa kufanikiwa duniani haupo tena badala yake unaumua kumgeukia Mungu ili usifeli kotekote duniani na Mbinguni.
Panga maisha yako vyema, tengeneza mikakati yako vizuri na ratibu mipango yako sawasawa, naamini utafanikiwa. Usiwe mtu wa kujikatia tamaa na kujisemea kuwa umeumbwa wa kukosa.
Mungu ni wakwetu sote. Na Mungu anataka sote tufanikiwe na tuishi duniani kama mahalifa wake na tuweze kumwabudi yeye kwa hushui.
Usisite kumuuliza aliyefanikiwa kafanyaje angalau uweze kupata mbinu. Usijitenge na watu lakini jiweke kando na husuda kwasababu mara nyingi husuda inakufamya umchukie aliyefanikiwa. Mtumie rafiki yako aliyefanikiwa kama ngazi ya kukupandisha juu kwa kuomba na kuifuata mbinu zake zilizomfanya afanikiwe.
Kwa mada hii naomba niishie hapa kwa maana nimezungumza mengi, kama utaendelea kucheza kamali kwa maana ya michezo ya kubahatisha na betting za mipira ni wewe lakini wajibu wangu nimeutimiza kwa taifa langu.
OkHongera sana mkuu umetoa ushauri mzuri, katika uhalisia kamali ni dhambi mbele za mungu na haina maana yoyote.
Mtoa mada kubeti sio kosa kabisa.Vijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha.

Mimi kama Mkamaria nalaani hii risala kwa niaba ya makamaria wenzangu maarufu kama maafisa ubashiriVijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha.

Tumia nguvu hiyo hiyo kukemea wizi serikalini kwani nayo sio kazi !.....vinginevyo utambue Kila silaha yafaa wakati wa vita.....!!Vijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha.

Hata wewe hapo ulipo ni haramu kwetu ila hujijui tuSijawahi kubet tokea nizaliwe na sina mpango huo , kheri nile dagaa daily na kuishi kikapuku kuliko kujiingiza kwenye Kazi haramu wazi wazi.
Jaribu kujishugulisha na mambo yanayokuhusu sababu duniani umekuja kivyako hujaja na mtuushauri mzuri kwa jamii,vitu vya kuepuka kwa ustawi wa jamii ni pamoja na
1)kubeti kamari kama ulivyoeleza,watu wanatetea ila wanashinda kamari ni wachache kuliko wanaoliwa ,na mwisho wake ina leta uraibu kadiri siku zonavyoendelea kufikisika,pia ni dhambi kama ulivyosema
2)ulevi pombe kali,madawa ya kulevya ,bangi ,sigara ugoro,gundi,shisha n.k
3)kusubiri /kutegemea ajira rasmi kutoka serikalini/private na wengine kupenda kuwa tegemezi kwa wazazi/walezi na wengine kupenda kulelewa na wapenzi wenye umri mkubwa sugar mumy sugar dady
4)kutojifunza ujuzi mbalimbali ili kupata maarifa mapya ya kufanya ujasiriamali mdogo mdogo
5)kudharau /kuchagua kazi/baadhi ya kazi za ujasiriamali
6)energy drinks
7)kukosa uaminifu
8)kukosa bidii katika kazi nidhamu ya kazi,kupenda anasa,kukosa nidhamu ya pesa
9)kwa wale maafisa usafirishaji kutozingatia matumizi sahihi ya barabarani na sheria za usalama barabarani
10)kuto- kumcha Mungu na kuona tuko bize hatuna muda wa ibada,na kuona dhambi ni kitu cha fahari/ujanja na kuona maisha ya kumcha Mungu ni ushamba.
Mtandao unaotumia ni wa kikafiri, nao sio haramu?Unarahisisha betting ionekana halali kwa mifano batili.
#BettingNiHaram
Bora uwe masikini lakini si kuwa tajiri kwa kazi za kubetWatu wa aina hiyo ya mtoa mada Ndio wanakumbatia umasikini milele
Kuna mtu uliekuja nae dunianiBora uwe masikini lakini si kuwa tajiri kwa kazi za kubet
Siwezi kukimbia kwa hoja dhaifu zinazotolewa. Taifa linateketea kwa kwa kukithiri kwa michezo ya kamari. Hata mafundisho ya dini yamekataza kamari. Endelea kucheza kwa kuwa kila mtu ashin de mechi zake.Mtoa mada mbona umeukimbia uzi wako? Njoo uone majibu ya ulichokileta.