Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

Sio kila kazi inatakiwa ifanywe na kila mtu,,chagua segment yako ifanye kwa juhudi na nguvu nyingi mambo yatatiki tu
 
Kazi ni nini? Umekariri kazi mpaka mtu abebe zege au mpaka mtu awe kwenye kiti cha kuzunguka ofisini?

Kubet ni kazi kama zilivyo kazi zingine, kupata au kukosa hayo ni matokeo. Hata machinga anayezunguka siku nzima hutokea siku kukosa na siku zingine hupata

Umetoa ushauri wa hovyo
Huoni umejifunga mwnyw apo? Machinga akikosa Huwa anabaki na mtaji wake lakini ukibeti ukakosa Hela yote imeenda , think twice
 
Back
Top Bottom