Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi


Viwanja vyote hapo vimepimwa na vina hati hivyo vya ufukweni ni kwa ajili ya hotels alafu vinavyofuatia ni makazi hiyo ni beach area mzee kiwanja kidogo kabisa ni 1000 square meters
 
Yan hata kwa 150 hapo nashangaa umewezaje kufika.ngoma bado mbich sana hapo.atleast uwe na 100 nyingine ili ifike hata level ya kuingia n

Sasa wewe kwa mtizamo mahoteli yote yanayojengwa kigamboni unazani hakuna barabara ? hapo karibu na kwangu kuna Bamba beach , pickcock nao wanajenga hotel uazania wanatjenga tu bila plan?
 
Acheni kutisha watu nyie wa kuongeza sifuri kwenye ujenzi, kwanza kujenga ni kuzika pesa..... ni uoga wa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…