Mbongo4life
Senior Member
- Nov 1, 2021
- 132
- 270
- Thread starter
- #61
Tatizo eneo,neighborhood ndio inaweza kua imechoka!
Unasema mpo kwenye government plan,mara leo unasema una document ya wizara OG,which is which sir?
Kuna mitaa ukitaja jina tu people keep quiet,hiyo ndio inafaa ujenge gorofa la life time kama hilo,ila mitaa ya unapita inabidi usimame mwenzako apite kwanza ni wastage of resouholo
Viwanja vyote hapo vimepimwa na vina hati hivyo vya ufukweni ni kwa ajili ya hotels alafu vinavyofuatia ni makazi hiyo ni beach area mzee kiwanja kidogo kabisa ni 1000 square metersTatizo eneo,neighborhood ndio inaweza kua imechoka!
Unasema mpo kwenye government plan,mara leo unasema una document ya wizara OG,which is which sir?
Kuna mitaa ukitaja jina tu people keep quiet,hiyo ndio inafaa ujenge gorofa la life time kama hilo,ila mitaa ya unapita inabidi usimame mwenzako apite kwanza ni wastage of resources!