Kwani siku ya kupiga kura ni lini? Mbona unaweweseka?Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
Haha hizo story unazoandika unaongelea ni za mtu aliyekosa kazi ya kufanyaNawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
calm down ndugu mdau,Gentleman,
Alfajiri yote hii umeanza kutufokea, umekula hata uroda kweli?
Mkeo kaburudika?
Naagiza unyang'anywe hiyo simu mara moja.
Jukumu la ni kuwashauri vijana wenzangu na kuwasanua athari za kubebwa ufala kifikra na vibaka na matapeli wa kisiasa hususani siku ya uchaguzi.Kwani siku ya kupiga kura ni lini? Mbona unaweweseka?
Bado hata kampeni hazijaanza. Huu muda kwa kawaida munajiandaa kwa kampeni na sio kutisha watu na kulazimisha wapige kura.
GentlemanHaha hizo story unazoandika unaongelea ni za mtu aliyekosa kazi ya kufanya
Ukiwa na kazi ya kufanya huwezi andika maneno yote haya ,
Badala ya kuongelea pesa,Mwanaume mzima unaongelea mambo ya uchaguzi
Uchaguzi upo ,ulikuwepo na utakuwepo hata wewe ukiwa haupo
Achana na mambo ya upuuzi wa siasa za majitaka ,Tafuta pesa ,Jenga mazingira mazuri ya watoto na wajukuu zako
Anapumuliwa na wana CCm kushindwa kulipa pesa zao ushawishi wa ujinga wakeGentleman,
Alfajiri yote hii umeanza kutufokea, umekula hata uroda kweli?
Mkeo kaburudika?
Naagiza unyang'anywe hiyo simu mara moja.
nimeshauri kama anagalizo kwa vijana,Vurugu zinatoka wapi mkuu? Huu si ni uchaguzi wa Chama kimoja
Pointless.Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
Unashauri ukiwa kama nani? Magenge ya kihalifu nchi hii ni Polisi na CCM.Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
nashauri kama mtanzania na kijana makini mwenye upendo sana na uzalendo wa kiwango cha juu sana kitaifa, mtaalamu mbobevu wa kisiasa mwenye maono ya mbali sana tuendakoUnashauri ukiwa kama nani? Magenge ya kihalifu nchi hii ni Polisi na CCM.