GE2025 Ushauri kwa vijana: Msithubutu kushiriki vitendo vya fujo au maandamano ya ghasia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
calm down,
na uzingatie mawaidha bila mihemko gentleman

Leo umekuwa mpole mnyenyekevu. Leo unatoa mawaidha badala ya vitisho

Umeona mziki wa chadema jana hadi polisi wakaingilia msafara wa Heche

Na bado
 
Ukiona umati mkubwa unajitokeza kuwasikiza hao unaowaita matapeli,

Jua kuwa, wananchi ndio hasa wamewatuma CDM kupeleka agenda yao.

Kiukweli,

Bila Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,

Uchaguzi batili utayeyuka.

Mark my words!
 
Leo umekuwa mpole mnyenyekevu. Leo unatoa mawaidha badala ya vitisho

Umeona mziki wa chadema jana hadi polisi wakaingilia msafara wa Heche

Na bado
sijawahi na siwezi kumtisha mdau yeyote wa JF wala mTanzania mwenzangu yeyote gentleman,
huwa na eleza ukweli mtupu na kushauri mambo ya msingi tu
 
Ukiona umati mkubwa unajitokeza kuwasikiza hao unaowaita matapeli,

Jua kuwa, wananchi ndio hasa wamewatuma CDM kupeleka agenda yao.

Kiukweli,

Bila Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,

Uchaguzi batili utayeyuka.

Mark my words!
zingatia mawaidha gentleman,
porojo na stori zingine si muhimu sana kwa atakaeumizwa au kupoteza uhai kilofa. lazima tuwaprotect vijana kutumbukia huko
 
Wewe kama nani? Na unalipwa na nani? Wewe ni CHAWA wa nani?
 
Wewe kama nani? Na unalipwa na nani? Wewe ni CHAWA wa nani?
kama mTanzania makini mwenye maono ya mbali na nia njema kwa vijana.

kwani kuna ubaya wowote gentleman kushauri mambo muhimu kwa upendo?
 
Muhuni samia bushiri na genge lake atoboi hiyo 5 anayo imwagia damu na mwisho wake utakuwa mbaya wa aibu
 
zingatia mawaidha gentleman,
porojo na stori zingine si muhimu sana kwa atakaeumizwa au kupoteza uhai kilofa. lazima tuwaprotect vijana kutumbukia huko
WEWE mpumbavu,

Sheria ipi na katiba ipi inarihusu mtu auwawe bila kupelekwa court ikiwa anatuhumiwa chochote?

Mwisho wa siku hamwezi kuua watanzania wote,

Watishe wajinga.
 
Nakuhakikishia huku kwe
Nakuhakikis hia huku kwetu Uchaguzi hauta kuwepo.

1.Vituo vyote vya kupiga kura asubuhi vitakuwa majiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…