GE2025 Ushauri kwa vijana: Msithubutu kushiriki vitendo vya fujo au maandamano ya ghasia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
2.Asubuhi vituo ambavyo tutakuwa tumeshindwa Wananchi tutawazuia kuingia kupiga kura
 
2.Asubuhi vituo ambavyo tutakuwa tumeshindwa Wananchi tutawazuia kuingia kupiga kura
ni huzuni sana na fedheha nyingi sana kwa ndugu na jamaa kumfuata kijana wao mortuary akiwa ameganda eti kwasababu ya kubebwa ufala na vibaka na matapeli wa kisiasa akalete fujo
 
kama kijana,
haipendezi kupeleka zawadi ya huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au mauti kwa familia yako gentleman
sio gopi kufa tajitokeza ila polisi atakaye nigusa nitamtumia jini la kumf*ra mda wote na tunampango wa kuanzisha intelahamwe tawi la tanzania
 
WEwe andamana tu kwa ajili ya maslahi ya tumbo lako ,waache wenye njaa na kiu wahangaike vile waonavyo itawafaa.
 
WEwe andamana tu kwa ajili ya maslahi ya tumbo lako ,waache wenye njaa na kiu wahangaike vile waonavyo itawafaa.
mimi siandamani kilofa,
na wala nisingependa vijana wenye njaa na kiu za kilofa wakiwa walemavu au wanapoteza maisha kindezi ndezi tu
 
mimi siandamani kilofa,
na wala nisingependa vijana wenye njaa na kiu za kilofa wakiwa walemavu au wanapoteza maisha kindezi ndezi tu
Kwa kuwa ni kwa ajili ya tumbo lako siyo kilofa.
 
Kwa kuwa ni kwa ajili ya tumbo lako siyo kilofa.
kila mwanadamu ana tumbo gentleman,
na ni vizuri kuhakikisha unaliridhisha tumbo lako kwa bidii na maarifa,

na sio kubebwa ufala kifikra na vibaka wa kisiasa kwenda kufanya mambo kinyume na sheria kwa kusababisha fujo au vurugu za kujikuta umepata ulemavu wa kudumu au kupoteza maisha yako na kuwapelekea wazazi wako zawadi ya msiba nyumbani kwa maslahi ya wanasiasa na famila zao
 
Ingekuwa vyema ungewashauri Polisi waache kufanya fujo na pia waache kuvaa mask
 
Uchaguzi tz ni useless tu
Nyie endeleeni hakuna haja ya kuingia gharama
Nyie endeleeni tu kutawalaaa

Ova
 
Gentleman,

Alfajiri yote hii umeanza kutufokea, umekula hata uroda kweli?

Mkeo kaburudika?

Naagiza unyang'anywe hiyo simu mara moja.
Hilo la kuburudisha mke kwanza kwake sio hoja maana ndani ya chama chao kuna Umoja na kujaliana hivyo kama hupigi basi wanakupigia!
Umesahau zama zile za Naibu Katibu Mkuu "Savimbi" alivyokuwa anawachapia makada wenzake hadi wakamfumania Igunga?
KAZI IENDELEE!
 
 
Unatumika vibaya sana wewe!!
 
Uchafuzi?
 
Kenya wamefanya maandamano ya saba saba,wamekufa 31,na wengine kujeruhiwa,na maduka kuvunjwa na magari kuchomwa moto.
Ni ujinga,kama ilivyotekea Kenya,kwenye saba saba,watu 31 wamepigwa risasi,na wengine mahututi hospitalini.Maduka na biashara kadhaa kuibiwa na kuchomwa moto,magari kuchomwa moto,mahospital kuvunjwa,wahonjwa kukosa matibanu na wajawazito.Wengibe wameuliwa wakitoka vibaruani kutafuta riziki.Vita havina macho.Mtoto wa kike muaka 12kapigwa risasi yuko nyumbani anatuzama TV.Wengine wameuliwa wakirudi majumbani mwao.Ni majonzi juu ya majonzi,watu nwakemee ujinga huu,usiseme humo,later baya kutokea kwako pia.
 
ni huzuni sana na fedheha nyingi sana kwa ndugu na jamaa kumfuata kijana wao mortuary akiwa ameganda eti kwasababu ya kubebwa ufala na vibaka na matapeli wa kisiasa akalete fujo
Ndio ilivyotekea Kenya kwenye saba saba,masndamano yameleta huzuni.kubwa na vifo 31 na majeruhi wengi tu,na biashara kubunjwa na kuibiwa,na magari kuchomwa moto,tupinge ujinga huu,kwa nguvu zote.Mtoto wa miaka 12,kapigwa risasi akiwa kwao.Anayetaka kuvuruga amani,akatazwe mapema na kuwahiwa yeye kuwekwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…