Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Hofu yako ni kitu gani? Si mmeamua Uchaguzi utafanyika tu inyeshe mvua liwake jua? Just Go ahead msitusumbueNawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
Kenya wajinga wamefanya fujo siku ya sabasaba,wengi ni marehemu karibia 31,na majeruhi wengi tu.Wamesabqbisha hata wasiohusika kupoteza maisha.Wansotaka kuleta vurugu,walaniwe ns wazuiwe kwa nguvu zoteni huzuni sana na fedheha nyingi sana kwa ndugu na jamaa kumfuata kijana wao mortuary akiwa ameganda eti kwasababu ya kubebwa ufala na vibaka na matapeli wa kisiasa akalete fujo
Hayupo gentleman?ukweli mtupu,
hayupo wa kuishinda CCM gentleman 🐒
sina hofu,Hofu yako ni kitu gani? Si mmeamua Uchaguzi utafanyika tu inyeshe mvua liwake jua? Just Go ahead msitusumbue
Andiko bora kabisa hili. Amani ya Tanzania lazima tuilinde kwa wivu mkubwa.Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
Ushindi wa kishindo wa kutegemea refa mwenye jezi ya kijani upo pale pale kwa kucheza na timu za kijiji mnazotaka kuzitumia kutakatisha hela za mikopo.ushindi wa kishindo wa CCM upo pale pale bila kujali drama na mapichapicha ya kutafuta attention na public sympathy 🐒
Kwa mtu kukatwa kichwa kama alivyosema sheikh wa BAKWATA.Andiko bora kabisa hili. Amani ya Tanzania lazima tuilinde kwa wivu mkubwa.
No reforms no election.Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
Kama unahatarisha amani ya watu 60m utakatwa tu kichwaKwa mtu kukatwa kichwa kama alivyosema sheikh wa BAKWATA.
Hata hapo Kenya hakuna mtoto wa Gachagua, Martha Karua, Kalonzo Musyoka au mwanaharakati yeyote aliyeandamana.Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
mimi ni miongoni mwa watoa ushauri waandamizi kwa vijana wa Tanazania 🐒
Hakuna mtu atafanya fujo. Lakini mtafanyiana fujo ninyi wenyewe.Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura.
Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria. Jitengeni kabisa na kuchukua tahadhari na magenge ya kihalifu yaliyojificha kwenye mgongo wa siasa na yanayojipanga kuwatumia vijana vibaya as shield ili kuvuruga umaoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania, kwa maslahi yao binafsi, familia zao na mabwenyenye ya magharibi wanao watuma na kuwafadhili.
Jiepushene na wala msithubutu kabisa kuwabugudhi au kusumbua wananchi wapiga kura wanaotumia uhuru na haki zao za kupiga kura katika vituo maalumu vya kupigia kura hiyo October 2025. Msijaribu kubishana au kupambana na vyombo vya ulinzi na usalama, ili msije kupeleka, huzuni, mzigo wa ulemavu wa kujitakia au misiba majumbani mwenu na kwenye famaili zenu.
Ni fedheha na majuto sana kijana kuumizwa, kupata ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa kindezi tu na magenge ya kihalifu au vibaka wa kisiasa nchini eti ulete fujo, vurugu au uharibifu siku ya kupiga kura.
Kama vijana wenye maono, uzalendo na mapenzi ya Taifa hili letu tulivu la Tanaziani, yafaa kushiriki uchaguzi mkuu wa october tukiwa wamoja kwa upendo zaidi, na kuamua mustakabali mwema wa Taifa letu kwa amani
Mungu Ibariki Tanzania.
Auwaye kwa upanga hufa kwa upangaKama unahatarisha amani ya watu 60m utakatwa tu kichwa