Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Yan mkuu umemwekea umeme kumbe chumbani kwake kuna jamaa anataka aione mbususu ya demu wako vizuri kwenye mwanga na feni wamewasha🤣kwahyo hyo hyo 5000 yako ya umeme
Na maji ya baridi watakunywa kupunguza joto na jasho,,, mi ningejiua
 
Maisha magumu sana taa awashe yeye.

Wewe ndio ulipie.
 
Acheni ku-date na wanawake masikini na ombaomba, inakuaje unakua na mwanamke hata hela ya luku inamshinda.!. Kwanini alienda kupanga wakati hawezi kumudu gharama za bills zake?. Luku kuisha sio tukio la ghafla kama ajari maana matumizi ya unit yanasomeka kwenye meter.
 
Maisha magumu sana taa awashe yeye.

Wewe ndio ulipie.
 
Kama sio mke wako kwa nini unajipa jukumu la mume kwa mwanamke ambaye haujamuoa?
Broo kama umeoa sawa, ila kama bado hujaoa ngoja tuu nikwambie huwez kuishi kweny mahusiano bila kutoa viela, hasa mahusiano ya sikuiz.

Kwaio mzee unataka awe ananipa tuu tako bure mimi nisichangie chochote, hata hela sabuni ya kuosha hilo tako analonipa nayo nisitoe? Mambo madogo-madogo kama haya unatoa tuu mzee kwasababu 5k sio hela ya kawaida sana.
 
Sisi tunadeal na wewe tu

Mara ya mwisho kumtumia mama yako hela ni lini?

Huyo mwanamke uliyemnunulia umeme wa elfu 5 ni mkeo?

Unafikiri kati ya wewe na baba yake ni nani hasa alipaswa amnunulie umeme?
Kuna mijitu ni mijinga sana, na nina uhakika uyo demu hata hakua na shida ya luku. Target yake ilikua ile elfu tano na iyo meseji ya kuomba hela ya luku kaiforward kwa wanaume sio chini ya 10.
 
Broo kama umeoa sawa, ila kama bado hujaoa ngoja tuu nikwambie huwez kuishi kweny mahusiano bila kutoa viela, hasa mahusiano ya sikuiz.

Kwaio mzee unataka awe ananipa tuu tako bure mimi nisichangie chochote, hata hela sabuni ya kuosha hilo tako analonipa nayo nisitoe? Mambo madogo-madogo kama haya unatoa tuu mzee kwasababu 5k sio hela ya kawaida sana.
Don't be stupid. na kwa taarifa yako uyo demu hakua na shida ya luku na iyo meseji aliyokutumia kaiforward kwa wanaume wengine sio chini ya kumi bila kusahau wote mliofanya mhamala anaenda kuwatumia kama mfano wa wanaume wapumbafu wakati akiwasimulia mashoga zake huo ujanja
 
Budah wagongaji book sura 3: mstari wa 4 inasema "kula nyama nyamaza🤫"
 
We ni Fala tu kama mafala wengine, umeme ulionunua unatumika kwa wanaume shababi wewe uko hapa unademka
😅 😅 😅

Haya ndo mambo mnayoweza....insults, gossip, innuendo and reputation destruction, it doesn't work on me.

Hio 5k inakuuma, maana hayo matusi kama umetoa wewe vile.
 
Don't be stupid. na kwa taarifa yako uyo demu hakua na shida ya luku na iyo meseji aliyokutumia kaiforward kwa wanaume wengine sio chini ya kumi bila kusahau wote mliofanya mhamala anaenda kuwatumia kama mfano wa wanaume wapumbafu wakati akiwasimulia mashoga zake huo ujanja
NO!
 
😅 😅 😅

Haya ndo mambo mnayoweza....insults, gossip, innuendo and reputation destruction, it doesn't work on me.

Hio 5k inakuuma, maana hayo matusi kama umetoa wewe vile.
Unashauri vijana wabaki singls wapige nyerere😂kambarage 14
 
Back
Top Bottom