KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
hana uhalali wa kuanzisha process ya katiba mpya..hivi nyinyi huwa mnamuona anao huo uwezo kusimamia mambo ya nchi au mmelogwa? huyu mtu hana huo uwezo..! hear us when say like that..!Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa.
Leo acha nionekane kichaa kwa mara nyingine tena lakini nitoe ushauri huu kwa viongozi wa upinzani bila kuzungumzia au kuangalia chochote kilichotokea huko nyuma ila naangalia sasa na kesho ya Tanzania.
UShauri wangu Leo utajikita katika kutazama nia na dhamira ya Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutumia jicho la tatu kwa Taifa letu kwa kipindi Cha miaka 5 ijayo 2025-2030.
Niliwahi kuandika uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads...rais-samia-naiona-tanzania-mpya.2137379/ambao niliona nia na dhamira njema ya Rais wetu kwa nchi yetu.
Hapa pia niliona dhamira na nia njema PreGE2025 - Tulio tayari kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025, tujipongeze kwa kulitendea haki Taifa
Hapa nilieza kwa nini natamani sana Rais Samia Agombee kwa sababu niliona dhamira na nia yake njema https://www.google.com/url?sa=t&sou...MQFnoECCMQAQ&usg=AOvVaw2YJqVeDXLP6jxC9ZF21Nfp
Hizo ni baadhi ya nyuzi nilizoandika baada ya kuona nia njema ya Rais wetu kwa Taifa ,ni nia njema kabisa
Kutokana na Hilo ndio maana Leo nasimama kuwashauri wapinzani wasizoreteshe nia hiyo njema.
Nia ya Rais Samia kulivusha na kulipeleka Taifa letu nchi ya ahadi
ni ya dhati
Nia ya Rais kufanya maridhiano na kujenga umoja wa kitaifa kupitia maridhiano ni ya dhati
Nia ya Rais wetu kuibadili nchi yetu ni ya dhati
Nia ya Rais wetu kutupatia katiba mpya ni ya dhati.
Tafadhali vyama vya upinzani msipoteze nafasi hii adimu kwa misukumo ya kisiasa na kufanya kilio Cha kutopatikana katiba mpya kikaanza upya kwa watu maana wakati huu katiba itapatikana. Tukipoteza nafasi hii tutamkumbuka.
Sio uonekane, wewe ni Kichaa kweli.Leo acha nionekane kichaa kwa mara nyingine tena
Ikifika 2030 usije kuwalaumu CCM ila mjilaumu wenyewe kwa kusiasisha mustakabali wa TaifKwani ukitutolea upumbavu wako utapungukiwa nini?
Wakati ni sasa ,Rais Samia ana kusudi, nia na dhamira ya dhati ya kutupatia katiba mpya msiikwamishehana uhalali wa kuanzisha process ya katiba mpya..hivi nyinyi huwa mnamuona anao huo uwezo kusimamia mambo ya nchi au mmelogwa? huyu mtu hana huo uwezo..! hear us when say like that..!
Aliyekuambia ccm inafika 2030 nani? Mwisho wa ccm ni December 9, 2025. Kama huamini rudi hapa kuanzia tarehe 10 December 2025Ikifika 2030 usije kuwalaumu CCM ila mjilaumu wenyewe kwa kusiasisha mustakabali wa Taif
Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa.
Leo acha nionekane kichaa kwa mara nyingine tena lakini nitoe ushauri huu kwa viongozi wa upinzani bila kuzungumzia au kuangalia chochote kilichotokea huko nyuma ila naangalia sasa na kesho ya Tanzania.
UShauri wangu Leo utajikita katika kutazama nia na dhamira ya Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutumia jicho la tatu kwa Taifa letu kwa kipindi Cha miaka 5 ijayo 2025-2030.
Niliwahi kuandika uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads...rais-samia-naiona-tanzania-mpya.2137379/ambao niliona nia na dhamira njema ya Rais wetu kwa nchi yetu.
Hapa pia niliona dhamira na nia njema PreGE2025 - Tulio tayari kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025, tujipongeze kwa kulitendea haki Taifa
Hapa nilieza kwa nini natamani sana Rais Samia Agombee kwa sababu niliona dhamira na nia yake njema https://www.google.com/url?sa=t&sou...MQFnoECCMQAQ&usg=AOvVaw2YJqVeDXLP6jxC9ZF21Nfp
Hizo ni baadhi ya nyuzi nilizoandika baada ya kuona nia njema ya Rais wetu kwa Taifa ,ni nia njema kabisa
Kutokana na Hilo ndio maana Leo nasimama kuwashauri wapinzani wasizoreteshe nia hiyo njema.
Nia ya Rais Samia kulivusha na kulipeleka Taifa letu nchi ya ahadi
ni ya dhati
Nia ya Rais kufanya maridhiano na kujenga umoja wa kitaifa kupitia maridhiano ni ya dhati
Nia ya Rais wetu kuibadili nchi yetu ni ya dhati
Nia ya Rais wetu kutupatia katiba mpya ni ya dhati.
Tafadhali vyama vya upinzani msipoteze nafasi hii adimu kwa misukumo ya kisiasa na kufanya kilio Cha kutopatikana katiba mpya kikaanza upya kwa watu maana wakati huu katiba itapatikana. Tukipoteza nafasi hii tutamkumbuka.
Atakumbukwa kwa utekaji na mauaji.Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa.
Leo acha nionekane kichaa kwa mara nyingine tena lakini nitoe ushauri huu kwa viongozi wa upinzani bila kuzungumzia au kuangalia chochote kilichotokea huko nyuma ila naangalia sasa na kesho ya Tanzania.
UShauri wangu Leo utajikita katika kutazama nia na dhamira ya Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutumia jicho la tatu kwa Taifa letu kwa kipindi Cha miaka 5 ijayo 2025-2030.
Niliwahi kuandika uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads...rais-samia-naiona-tanzania-mpya.2137379/ambao niliona nia na dhamira njema ya Rais wetu kwa nchi yetu.
Hapa pia niliona dhamira na nia njema PreGE2025 - Tulio tayari kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025, tujipongeze kwa kulitendea haki Taifa
Hapa nilieza kwa nini natamani sana Rais Samia Agombee kwa sababu niliona dhamira na nia yake njema https://www.google.com/url?sa=t&sou...MQFnoECCMQAQ&usg=AOvVaw2YJqVeDXLP6jxC9ZF21Nfp
Hizo ni baadhi ya nyuzi nilizoandika baada ya kuona nia njema ya Rais wetu kwa Taifa ,ni nia njema kabisa
Kutokana na Hilo ndio maana Leo nasimama kuwashauri wapinzani wasizoreteshe nia hiyo njema.
Nia ya Rais Samia kulivusha na kulipeleka Taifa letu nchi ya ahadi
ni ya dhati
Nia ya Rais kufanya maridhiano na kujenga umoja wa kitaifa kupitia maridhiano ni ya dhati
Nia ya Rais wetu kuibadili nchi yetu ni ya dhati
Nia ya Rais wetu kutupatia katiba mpya ni ya dhati.
Tafadhali vyama vya upinzani msipoteze nafasi hii adimu kwa misukumo ya kisiasa na kufanya kilio Cha kutopatikana katiba mpya kikaanza upya kwa watu maana wakati huu katiba itapatikana. Tukipoteza nafasi hii tutamkumbuka.
Bado sana na ni mapema sana CCM kutoka 2025 labda 2100 hiviAliyekuambia ccm inafika 2030 nani? Mwisho wa ccm ni December 9, 2025. Kama huamini rudi hapa kuanzia tarehe 10 December 2025
Matokeo ya kazi nzuriAtakumbukwa kwa utekaji na mauaji.
Hana uwezo, achilia mbali kung'a ng'ania kugombea na kisha kuingiza nchi kwenye maafa na kutokuwepo uchaguzi! wala haihitaji kujua hiyo dhamira unataja..no need to go there..Wakati ni sasa ,Rais Samia ana kusudi, nia na dhamira ya dhati ya kutupatia katiba mpya msiikwamishe
kwa nini mnapenda kufanya dhihaka..wewe unaweza fanya dhihaka kwa familia yako?Bado sana na ni mapema sana CCM kutoka 2025 labda 2100 hivi