Ushauri kwa vyama vya upinzani: Nia na dhamira ya Rais Samia ni njema , tutamkumbuka.

Mtu atoe katiba ya Kumfunga jela au kufilisi mali zake never Katiba ya kuwaweka nje na mfumo maisha sio marahsi katiba itapatikana kuomba angalia nchi zilizobadili katiba angalau Kenya hapo
Katiba itapatikana kwa sababu wakati ni sasa na wakati unapofika yale yasiyofikiriwa yanafanyika
 
unatoambwa?
 
Mimi nitakuwa shahidi wa kukumbusha 2030 nia na dhamira njema ya Dkt. Samia pale ambapo tutakuwa na
1. UCHUMI wa kati mkubwa
2. Katiba mpya
3. Maridhiano na muafaka wa kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…