Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Neno hilo.Hahahaa. Haina shida nitapunguza.
Ila mie nimesema tofauti ya midomo Mkuu au hujanisoma vyema?
Mimi nafikiri mtoa hoja alipaswa alielezee suala hili kwa kina ili mwisho wa siku atoe na njia mbadala ya lipstick.Hahahaaa. Kama ipi sasa ikiwa kila mmoja mdomo wake mkavu?
Hakuna cha sawa hapo naingiwa shaka na mleta uzi.Hahahaaaaa. Sawa Mkuu.
Karibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie pia mtu wa Pwani Mkuu ndio sababu nikasema sikumaanisha hayo.
Kwaheri. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ndio nilichokitegea na hii imesababisha watu wahisi tu kwamba badala ya hiki paka hiki pasi kuwa na uhakika hicho wanachoshauri nacho hakina madhara ama la.Mimi nafikiri mtoa hoja alipaswa alielezee suala hili kwa kina ili mwisho wa siku atoe na njia mbadala ya lipstick.
Hahahaaaaa nimecheka sana lol.Ebu tupishe,kufa lazima
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Usipake chochote tumia mate tu yanatosha kuweka mdomo usiwe mkavu
Hamna kitu kama hicho bana yaani kuanzia asubuhi mpaka jioni nijilambe lambe mdomo tu eti kisa usikauke wakati lipstick zipo mmh.Unajua hats Sir God alijua ndo maana akaweka hicho kilainishi " MATE"
Naaam ndo uandishi mzuri na ndiyo uchambuzi mzuri.Ndio nilichokitegea na hii imesababisha watu wahisi tu kwamba badala ya hiki paka hiki pasi kuwa na uhakika hicho wanachoshauri nacho hakina madhara ama la.