Ushauri kwa wadada wote wanaotumia rangi ya mdomo, zina madhara

Watumie maua mbona enzi za utoto walikuwa wanapaka maua na wanapendeza
 
Mimi nafikiri mtoa hoja alipaswa alielezee suala hili kwa kina ili mwisho wa siku atoe na njia mbadala ya lipstick.
Ndio nilichokitegea na hii imesababisha watu wahisi tu kwamba badala ya hiki paka hiki pasi kuwa na uhakika hicho wanachoshauri nacho hakina madhara ama la.
 
Usipake chochote tumia mate tu yanatosha kuweka mdomo usiwe mkavu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Mateeeee. Kisaaaaa?

Mleta uzi una utani yaani na hiki kibaridi ya nini kubabuka mdomo.
 
Unajua hats Sir God alijua ndo maana akaweka hicho kilainishi " MATE"
 
Hamna kitu kama hicho bana yaani kuanzia asubuhi mpaka jioni nijilambe lambe mdomo tu eti kisa usikauke wakati lipstick zipo mmh.

Hapana aisee.
 
Ndio nilichokitegea na hii imesababisha watu wahisi tu kwamba badala ya hiki paka hiki pasi kuwa na uhakika hicho wanachoshauri nacho hakina madhara ama la.
Naaam ndo uandishi mzuri na ndiyo uchambuzi mzuri.
 
Back
Top Bottom