FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hawawezi kupokea ushauri wa yeyote, huyo wala Slaa, wameshakula pesa za kina Anna Tibaijuka
cc Mama Amon
cc Mama Amon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kupokea ushauri wa yeyote, huyo wala Slaa, wameshakula pesa za kina Anna Tibaijuka
cc Mama Amon
Anachotaka Mwabukusi kwa CHADEMA ni sawa na kumtaka rafiki amuachie msela ghetto lake akalale na malaya. Rafiki ni CHADEMA na msela ni Mwabukusi.Exactly umeona jibu lako lilivyokuwa la kistaarabu hivyo ndivyo Mbowe alitakiwa kujibu japo inachekesha kuona mnaweka ukiritimba katikati ya mapambano. Time will tell kama strategies zenu zitafanya kazi au mtatendwa na CCM hadi mtarudi kuwa radicals tena.
Anachotaka Mwabukusi kwa CHADEMA ni sawa na kumtaka rafiki amuachie msela ghetto lake akalale na malaya. Rafiki ni CHADEMA na msela ni Mwabukusi.
Utakuwa ni mjinga kumuachia msela anajisi chumba chako
We mdau una hoja nzito na mujarabu. Mtu pekee nitakayeamin amedhamiria kuleta mustakabari wa kisiasa nchini ni yule tu atakayekuja na mbinu za nguvu, jasho na damu!Mbowe, Lissu tunawapa pole za kupigwa risasi na kufilisiwa lakini hii struggle siyo ya watu binafsi sababu kuna watu wamekufa kabisa kwa ajili ya mapambano ya kuitoa CCM. Je hao utawambia nini familia zao? Viongozi wa sasa hawana mbinu, ari wala mikakati ya kiuhalisia wakuitoa CCM. Wakina Mwakubusi wanajaribu kuratibu maandamano na civil disobedience na hiyo ndio lugha CCM wanaelewa na kuogopa. Hivi nyie mnawezaje kuwa waastarabu kwa watu wanaoiba kura mchana kweupe huko Zanzibar na mkaamini watabadilika na kuwa waastarabu? Eti unaongelea vyuo vya Uongozi, Diplomacy una akili kweli wewe? Unapambana na mhuni wa Mbagala kwa technique za Oysterbay.
Mimi ni CHADEMA na ninatii viongozi wangu na mara nyingi I speak my mind huwa sina herd mentality.
Jana Mwenyekiti wangu Mwamba Freeman Aikaeli Mbowe kaeleweka loud and clear kuwa hatuendi kwenye mikutano ya Mwambukusi na Slaa ila tunaendelea na mikutano yetu ya kikanda.
Stop overthinking. Strategy ya Chadema kwasasa ni mbovu mno, wataishia kuwa kama Sharif. CCM na TISS wapo tayari kuua na kutumia nguvu kubaki madarakani. Uniamini watu wa namna hiyo wataondoka kwa maridhiano na kura? Msipoanzisha maandamano na civil disobedience CCM haitatoka.
Mimi sio ""Chawa" ila nafuata maelekezo na sera za Chama, Mdude kaamua kufuata Wanaharakati wa Bandari rukhsa sisi tuna mikutano yetu kanda ya Nyasa tutaenda kuungurumia huko kama tulivyofanya kanda ya Ziwa Serengeti.Nina haja ya kujitambulisha u CHADEMA kuliko Mdude Nyagali (Mpaluka)?
View attachment 2771420
Tofautisha uanachama na kuwa chawa ndugu.
Uchawa uliouongelea hapa, si ni ule ule wa CCM tu? Kwamba ni mwendo wa kumshukuru Mama?
Kazi kweli kweli.
Mimi sio ""Chawa" ila nafuata maelekezo na sera za Chama, Mdude kaamua kufuata Wanaharakati wa Bandari rukhsa sisi tuna mikutano yetu kanda ya Nyasa tutaenda kuungurumia huko kama tulivyofanya kanda ya Ziwa Serengeti.
Tusipelekeshwe na Wanaharakati wa matukio.
Ndio inayonitofautisha mimi na wanaharakati wa matukio.UFuata maelekezo kama ling'ombe ndiyo definition yenyewe ya u chawa hiyo ndugu.
Habari ndiyo hiyo.
Ndio inayonitofautisha mimi na wanaharakati wa matukio.
Na kaa ukijua kuna matukio mengine ni staged na kitengo ili kututoa kwenye ajenda zetu lazima tulijue hilo.
Tusifikiti kila kinachovujishwa kina lengo zuri.
Sasa hivi tuna wasiwasi hata Mwabukusi ni agent wa Kitengo na kama tujuavyo NCCR imejaa "Mashushushu".Kwanini hudhani matukio staged na kitengo ni haya mnayo dansi nayo sasa?
Kumbuka imeshindikana kusitisha maandamano ya nchi nzima Kwa mustakabala wa watu. Tumekuwa tukisema taabu ni viongozi wao wakidai taabu ni watu.
Kulikoni Sasa wao kukomaa kama vipi haya ya kina Slaa nayo yakwame? Huoni hii ni kujitolea kufanya ya kitengo Kwa kujua au kutokujua?
Sasa hivi tuna wasiwasi hata Mwabukusi ni agent wa Kitengo na kama tujuavyo NCCR imejaa "Mashushushu".
Na lengo kuu hapa kinachotafutwa ni CHADEMA ifutiwe usajili, acheni Mwamba aitwe Mwamba kawashtukia.
No hate No fear ✌️💯
Salaam wana jukwaa, nimekutana na interview ya Wakili Mwabukusi na Maria Sarungi probably kutoka Maria spaces/clubhouse. Cha kushangaza Wakili msomi alikua busy kushambulia wapinzani kuwa ni wawaza ubunge, wapenda vyeo n.k. Hivi kweli hajui struggle za lissu hadi kumwagiwa risasi, hajui mbowe alivyofilisiwa na kufungwa kisa kudai katiba mpya na democracia nchi hii?
Pia kalaumu wapinzani kutosupport maandamano yake akiwaita waoga? Hivi siasa za maandamano wapinzani hawajui? Amesahau maandamano ya Arusha 2011 hadi watu wakauwawa? Amesahau maandamano ya pale Kinondoni hadi kina Mbowe wakahukumiwa kifungo na faini ya 300 Million? Yeye Leo ndio anajifanya ni pro-protest kuliko kina Hajji Duni au lissu?
Sio hivyo tu kaongelea suala la wake za viongozi kulipwa posho!! Yes ni kitu cha ajabu lakini Mwabukusi amekiadress kana kwamba tunalipia tendo la ndoa la viongozi yaani "we are paying for that thing.... we are paying for sex". As if wake za viongozi ni vyombo vya ngono tu. Kauli za namna hii ni unnecessary maana badala ya hoja kuwa bandari utaanza kujibu makelele ya feminists na UWT!!
Ushauri naoweza kumpa Mwabukusi ni kwamba atafute PR manager ajue namna ya kujenga mahusiano na umma. Ana hoja nzuri ya Bandari pamoja na katiba mpya ila lazima ajifunze kuwa na shabaha moja kwa wakati. Ni hatari sana kupambana na CCM, CHADEMA na wanawake kwa wakati mmoja utaondoka kwenye limelight in no time....
Kingine kuna haja ya vyama kama CHADEMA au ACT kupitia TCD kuanzisha chuo cha uongozi, diplomacy na political science ili wanasiasa/wanaharakati wote vijana wapitie huko kabla ya kupewa teuzi/uongozi hasa kwenye vyombo vya uwakilishi au kuongoza taasisi/jumuiya ya vyama.
Hili litasaidia kuondoa mihemko, kuleta utulivu wa akili kwenye mijadala, na kuwa na mawasiliano mazuri na jamii. Sasa mtu kawa maarufu juzi tu kaanza kumshambulia Mbowe out of nowhere! haya mambo hayapendezi especially tuliopo opposition maana tukikwaa madaraka si yatajirudia ya sabaya na Makonda!
View: https://youtu.be/78Gi9mXZWwA?si=YMXW0PFJ-jpAesu9
Hii Nchi bado ina Ukomunisti japo wa kichwara, na bado wanatumia sana Mashushushu kukilinda Chama chao cha Kikomunisti uchwara. ndio maana kuna msemo kuwa "wasiwasi akili".Mmerukia ramli siyo? Kumbe kama ni kushukiana shukiana kwa nini tusianze kuwashuku ninyi na hasa wewe au yeyote yule?
Tambua mkiishiwa hoja ni kawaida yenu kukimbilia ramli.
Kwa mwendo huu mtawashuku Hadi kina Mdude na kina Lissu.
Tatizo liko wazi: ubunge + ruzuku!
Hii Nchi bado ina Ukomunisti japo wa kichwara bado wanatumia sana Mashushushu kukilinda Chama chao cha Kikomunisti uchwara ndio maana kuna msemo kuwa "wasiwasi akili".
Sisi Issue ya Bandari tutaiongelea kivyetu kwenye mikutano yetu bila kuburuzwa na Mashushushu.
Hata Dotka Mihogo huenda amekuwa agent wa kitengo tumewashtukia.
Uzuri Wananchi wanaujua moto wetu CHADEMA, na wanajua fika kuwa Dikteta Hayati Magufuli alitumia fedha na Dola katika kutaka kuisambaratisha CHADEMA, na japo Demage ipo ila sio kuubwa vile, ndio maana Mwamba anasema tufanye ziara kuwatembelea Wananchi na kuwaeleza jinsi CCM inavyoifisadi Nchi na kukijenga Chama chetu kinachowindwa kama Digidigi.Ninyi mna agenda za chama. Za wananchi hamna haja nazo. Msichojua ni kuwa za wananchi ni supreme.
Hiyo kazi siwezi kuifanya hata siku moja. Mimi ni muumini wa ANTI FASCISM.Inaweza kuwa wewe na awaye yote huenda mmekuwa agents wa kitengo tumewastukia. Kwani ma agent Wana alama nyusoni?