HAPANA!
Mr. Freeman Mbowe aliwajibu ndugu zetu hawa kistaarabu mno unless labda uwe ulisoma vichwa vya habari za channels za YouTube za kutafutia viewers za
√ "
Mbowe awachana live kina Dr Slaa" au
√ "
Mbowe awajibu makavu kina Dr Slaa.."
Pasipo kumsikiliza yeye mwenyewe
Wewe unauita ukiritimba, it's ok maana wewe ndivyo uonavyo..
Lakini kwa wenzio hizo ni akili kubwa za kuonesha umakini kwa kila ajaye kuonesha kutaka kujiunga kwenye mapambano.
Wasipokuwa makini, wanaweza kujikuta wanashirikiana na shetani kujiangamiza wenyewe!
Ungeielekeza hii statement yako kwa kina Dr Slaa na wenzake wa
Sauti ya Watanzania maana ndiyo tu wanatambulisha taasisi? chama chao cha siasa? kwa umma...
Lakini ni ajabu kuwa kabla hata hawajaingia field ili kuicheza ngoma, eti jamaa tayari wameshaanza kulialia na kulaumu watu wengine kuwa hawataki kujiunga nao. By doing so, it makes any intelligent person to doubt their intentions!
Lakini kwako wewe kuwa
doubt CHADEMA ambao wako kwenye game kwa zaidi ya miaka 30 kuwa wanaweza kutendwa na CCM huku ukijifanya kusahau kuwa ni chama ambacho kimeshakwepa mishale ya kila aina na kika - survive huku kikikua na kuongezeka
kimo,
marefu,
kina na
mapana kila mwaka, basi wewe utakuwa unachekesha tu au pengine hujui usemalo, bila shaka..!
Kama CHADEMA
kiliweza kuhimili na kuishinda misukosuko ya hatari za waziwazi ziliyoambatana na mateso na vifo vya risasi za mchana kweupe wakati wa utawala wa John P. Magufuli (2015 - 2921) , hii CCM ya sasa chini Samia Suluhu Hassan iliyochakaa na kulowa ndembendembe itatumia mbinu kuiua CHADEMA ambayo hawajaitumia miaka hiyo ya nyuma yet wakashindwa?
Bro, watu tunaandaa kaburi la kuizika CCM kumbe wewe illusionary bado unahifadhi kivuli cha CCM ndani yako na kukiogopa??
That's too bad for you my dear friend
Walnut Creek..
Thanx anyway and good night🚶🚶🚶