Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

Sisi tuna strategy tofauti na sasa maridhiano yanaonekana yanasuasua ni wakati wa kwenda ubalozi wa Marekani na Uaya wao ndio wenye Mabunduki makubwa kuliko haya ya CCM wao watasikilizwa.

Nchi hii haita kombolewa na mmarekani.

Vipi Uganda, Zanzibar, Zimbabwe, Burundi, Rwanda, DRC, Gabon, Niger, Misri, Niyamar nk.

Au hata Iran, Siria au Saudia, UAE kwa wajomba huko?

Nyie jiungeni na wenzenu Lumumba mpumzike.

Ninyi siyo wa shida!
 
Wafuasi wa Mbowe na Mtundu Lissu wanaogopa umaarufu wa Mwabukusi.

Kwani, masuala ambayo Mwabukusi anayoyasimamia ni masula hayo hayo CHADEMA inayoyasimamia. Itoshe, baada ya Boniphace Mwabukusi kukoleza moto kwenye suala la Mkataba wa uwekezaji wa Bandari ndio CHADEMA ikatoka na 255 okoa bandari, mkumbuke, kabla ya hapo CHADEMA walikuwa na kampeni 255 rusha helikopta,
fb_img_1684412089333-jpg.2626457
pokea ruzuku, gombana na kaburi, maridhiano na sifia SSH!

Sasa haya mnayoona ni wivu tu,.
upande wa uongozi CHADEMA wakishirikiana na marafiki zao CCM
fb_img_1589397986327-jpg.2572209
Manake, haingii akilini wote wawe wanataka yale yale-Katiba Mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Kusitishwa kwa ugawiaji wa Bandari .n.k n.k halafu watupiane madongo, bila ya kusahau nani alieanza haya-CHADEMA Digital na propaganda za Kitoto.
 
Wafuasi wa Mbowe na Mtundu Lissu wanaogopa umaarufu wa Mwabukusi.

Kwani, masuala ambayo Mwabukusi anayoyasimamia ni masula hayo hayo CHADEMA inayoyasimamia. Itoshe, baada ya Boniphace Mwabukusi kukoleza moto kwenye suala la Mkataba wa uwekezaji wa Bandari ndio CHADEMA ikatoka na 255 okoa bandari, mkumbuke, kabla ya hapo CHADEMA walikuwa na kampeni 255 rusha helikopta, pokea ruzuku, gombana na kaburi, maridhiano na sifia SSH!

Sasa haya mnayoona ni wivu tu,.
upande wa uongozi CHADEMA wakishirikiana na marafiki zao CCM
fb_img_1589397986327-jpg.2572209
Manake, haingii akilini wote wawe wanataka yale yale-Katiba Mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Kusitishwa kwa ugawiaji wa Bandari .n.k n.k halafu watupiane madongo, bila ya kusahau nani alieanza haya-CHADEMA Digital na propaganda za Kitoto.
Wanaogopaje kwa hiyo wamemzuia kwenda kusajili chama mbona ofisi za msajili wa vyaka siasa zipo wazi tokea jumatatu mpaka ijumaa

Kama hakubaliani na misamamo ya chadema akasajili chama chake yeye na slaa milango ipo wazi
Kuwa na mitazamo tofauti sio dhambi au kosa, zitto kabwe alipoona ametofautiana na chadema alienda ACT
 
Hivi mmeshindwa kuelewa kuwa huyo huyo kimburukuku ni mwehu?

Ikiwa macho yenu hayaoni basi hata masikio hayasikii?
 
Nchi hii haita kombolewa na mmarekani.

Vipi Uganda, Zanzibar, Zimbabwe, Burundi, Rwanda, DRC, Gabon, Niger, Misri, Niyamar nk.

Au hata Iran, Siria au Saudia, UAE kwa wajomba huko?

Nyie jiungeni na wenzenu Lumumba mpumzike.

Ninyi siyo wa shida!
DRC ilikombolewa na Rwanda na Uganda na kumfurusha Dikteta Mobutu na genge lake.

Sio vigumu kusaidiwa ili kuzisisimua IQ zenye uzaifu.
 
Salaam wana jukwaa, nimekutana na interview ya Wakili Mwabukusi na Maria Sarungi probably kutoka Maria spaces/clubhouse. Cha kushangaza Wakili msomi alikua busy kushambulia wapinzani kuwa ni wawaza ubunge, wapenda vyeo n.k. Hivi kweli hajui struggle za lissu hadi kumwagiwa risasi, hajui mbowe alivyofilisiwa na kufungwa kisa kudai katiba mpya na democracia nchi hii?

Pia kalaumu wapinzani kutosupport maandamano yake akiwaita waoga? Hivi siasa za maandamano wapinzani hawajui? Amesahau maandamano ya Arusha 2011 hadi watu wakauwawa? Amesahau maandamano ya pale Kinondoni hadi kina Mbowe wakahukumiwa kifungo na faini ya 300 Million? Yeye Leo ndio anajifanya ni pro-protest kuliko kina Hajji Duni au lissu?

Sio hivyo tu kaongelea suala la wake za viongozi kulipwa posho!! Yes ni kitu cha ajabu lakini Mwabukusi amekiadress kana kwamba tunalipia tendo la ndoa la viongozi yaani "we are paying for that thing.... we are paying for sex". As if wake za viongozi ni vyombo vya ngono tu. Kauli za namna hii ni unnecessary maana badala ya hoja kuwa bandari utaanza kujibu makelele ya feminists na UWT!!

Ushauri naoweza kumpa Mwabukusi ni kwamba atafute PR manager ajue namna ya kujenga mahusiano na umma. Ana hoja nzuri ya Bandari pamoja na katiba mpya ila lazima ajifunze kuwa na shabaha moja kwa wakati. Ni hatari sana kupambana na CCM, CHADEMA na wanawake kwa wakati mmoja utaondoka kwenye limelight in no time....

Kingine kuna haja ya vyama kama CHADEMA au ACT kupitia TCD kuanzisha chuo cha uongozi, diplomacy na political science ili wanasiasa/wanaharakati wote vijana wapitie huko kabla ya kupewa teuzi/uongozi hasa kwenye vyombo vya uwakilishi au kuongoza taasisi/jumuiya ya vyama.

Hili litasaidia kuondoa mihemko, kuleta utulivu wa akili kwenye mijadala, na kuwa na mawasiliano mazuri na jamii. Sasa mtu kawa maarufu juzi tu kaanza kumshambulia Mbowe out of nowhere! haya mambo hayapendezi especially tuliopo opposition maana tukikwaa madaraka si yatajirudia ya sabaya na Makonda!

View: https://youtu.be/78Gi9mXZWwA?si=YMXW0PFJ-jpAesu9

Nimeanza kumdharau Mwabukusi kwa matamshi yake. Kumbe alikuwa chadema akahama, akawa NCCR akahama, sasa anatafuta kick tu. Nimeanza kumdharau!
Ngoja tuone maandamano atapata watu wangapi........
 
Nimeanza kumdharau Mwabukusi kwa matamshi yake. Kumbe alikuwa chadema akahama, akawa NCCR akahama, sasa anatafuta kick tu. Nimeanza kumdharau!
Ngoja tuone maandamano atapata watu wangapi........
brazaj
 
DRC ilikombolewa na Rwanda na Uganda na kumfurusha Dikteta Mobutu na genge lake.

Sio vigumu kusaidiwa ili kuzisisimua IQ zenye uzaifu.

Ndivyo DRC wanavyokwambia? Ati kuwa Rwanda ni mkombozi au mvamizi?
 
Ndivyo DRC wanavyokwambia? Ati kuwa Rwanda ni mkombozi au mvamizi?
Wakongo wasingeweza kumuondoa Dikteta Mobutu Sese seko mpaka waliposaidiwa kwa kupigwa "spark" kutoka nje.
 
Kuitoa CCM tunahitaji Spark kutoka USA na marafiki zake Samia anatumia urafiki wake na Kamala Harris ili CCM iendelee kutukandamiza sasa ni wakati wa kumuambia Joe Biden kuwa huyo Maza anawahadaa.
 
Wakongo wasingeweza kumuondoa Dikteta Mobutu Sese seko mpaka waliposaidiwa kwa kupigwa "spark" kutoka nje.

Hayo unasema wewe. Wenyewe wanasema je?

Rwanda na Uganda walikwenda kupora. Shida zote kule nani wanamlaumu? Bila Angola DRC ingekuwa je?
 
Kuitoa CCM tunahitaji Spark kutoka USA na marafiki zake Samia anatumia urafiki wake na Kamala Harris ili CCM iendelee kutukandamiza sasa ni wakati wa kumuambia Joe Biden kuwa huyo Maza anawahadaa.

Nyie subirini hata hawa wanajua sisi spark tunayo wenyewe:

View: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4

Ipo bora kuliko kuwa na spark Yako mwenyewe ndugu?
 
Back
Top Bottom