Mkipanga siku ya Maandamano wao wanapanga siku hiyo mechi ya YANGA na SIMBA.
Kwa hiyo unatushauri tuwaombe kutuhurumua wasipange hiyo mechi? Ukombozi huo upi mnaouongelea ninyi?
Ukombozi una gharama na hata kifo ni sehemu ya malipo yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkipanga siku ya Maandamano wao wanapanga siku hiyo mechi ya YANGA na SIMBA.
Maandamano ya kuitoa ccm huwezi tegemea arusha na mbeya tu in fact ni mpaka dodoma mwanza na dar.... sasa kama hao raia hasa wa dar wako busy kujadili shepu ya zari unadhani kuna wa kuunga mkono radicalism anayotaka Mwabukusi?Nani alikuambia Watanzania hawapo serious ? Hao Watanzania wa Arusha ulio watolea mifano wao ni misukule tofauti na wengine ?
Kwa sababu sio mwanachama wa chadema na amesema tumechokaa..Kumbe chama ni mali ya wanachama sio mali ya mtu binafsi ? Anhaa
Kwa nini sasa unataka mwambukusi aanzishe chama chake binafsi wewe utakuwa mkewe mtunza hadhina ?
Wewe mwenye akili timamu anzisha chama chako ufanye hayo upendayo ila sio uanze kushurutisha wengine wafanye unachopendaKwamba mambo yanakwenda kombo:
"Umeme hamna, mafuta bei kama hivyo, ajira hakuna, wizi wa kura kama kazi, katiba subirini kozi ya miaka 3, kodi lipeni na nyongeza za tozo juu, bambikiziweni kesi, uliweni, nk nk ushauri Kwa chama chako: tujikite kwenye manifesto."
Hii ndugu itakuwa akili au matope?
Kumbe unataka tuanzishe vikundi vya waasi..... sasa kumbe unakiri hata maandamano hayakuzaa matunda hadi walipobeba silaha?Narudia tena wakomunisti wa uchina walianza kupambana na KMT na imperial Japan kutoka mwaka gani kwa njia ya maandamano, mapambano ya msitu mpaka uhuru wao walichukua baada ya miaka mingapi kupita ?
Maandamano ya kuitoa ccm huwezi tegemea arusha na mbeya tu in fact ni mpaka dodoma mwanza na dar.... sasa kama hao raia hasa wa dar wako busy kujadili shepu ya zari unadhani kuna wa kuunga mkono radicalism anayotaka Mwabukusi?
walikua wananuniliwa hii imeonyesha wazi hujui siasa za TanzaniaHawa wajinga wanapaswa kufahamu kuwa ule ushenzi wa wapinzani kusema tunaunga mkono juhudi chini ya jiwe na kuhamia CCM uliwavunja moyo Watanzania wengi sana.
Kwa hiyo ulitegemea ccm wakae kimya wasimjibu mwakubusi na slaa pole sana kwa hizi fikra yaani ulitaka ccm wamsupport slaa na mwakubusi aiseeeeKwani wapi unamwona anawaongelea au ana pressure na chadema?
Hoja za Mwabukusi zimeporwa na kupotoshwa na ma CCM.
Tulipo sasa Kuna vibaraka na wengine Kwa kutojitambua walio team up na CCM dhidi ya Mwabukusi.
Kwamba Unaweza vipi kuungana na CCM hata dhidi ya shetani?
Raia wote wa dar hawawezi kuwa wanajadili matako ya wanawake wa mitandaoni linahitajidi kundi maalumu la kulengwa.Maandamano ya kuitoa ccm huwezi tegemea arusha na mbeya tu in fact ni mpaka dodoma mwanza na dar.... sasa kama hao raia hasa wa dar wako busy kujadili shepu ya zari unadhani kuna wa kuunga mkono radicalism anayotaka Mwabukusi?
Wewe mwenye akili timamu anzisha chama chako ufanye hayo upendayo ila sio uanze kushurutisha wengine wafanye unachopenda
Msajili yupo na ofisi yake ipo wazi jumatatu mpaka ijumaa
Chama sio mali ya mwambukusi hivyo hawezi anzisha chama chakeKwa sababu sio mwanachama wa chadema na amesema tumechokaa..
... sasa basi si aanzishe cha kwake ambacho kitakua better than chadema.
Kwa hiyo ulitegemea ccm wakae kimya wasimjibu mwakubusi na slaa pole sana kwa hizi fikra yaani ulitaka ccm wamsupport slaa na mwakubusi aiseeee
Hakuna kitu rahisi kwenye maisha
Ile ile hoja ya kigogo kuwataka chadema kuingia msituni kinachofuata ni msajili kukifuta chama mawazo mengine ya hovyo kabisaKumbe unataka tuanzishe vikundi vya waasi..... sasa kumbe unakiri hata maandamano hayakuzaa matunda hadi walipobeba silaha?
Hebu angalia Watanzania walivyo wa ajabu mimi nilijua ile by election ya Mkoani Mbeya Mbarali Watanzania badala ya kuonesha hisia zao kwenye Ballot kwa kuiadhibu CCM wameenda kuipa landslide.Kwa hiyo unatushauri tuwaombe kutuhurumua wasipange hiyo mechi? Ukombozi huo upi mnaouongelea ninyi?
Ukombozi una gharama na hata kifo ni sehemu ya malipo yake.
Hoja ni kwanin mwakubusi anawalaumu chadema hawajaunga maandamano yakoWapi Nina taabu na majibu ya CCM au vibaraka wake wakiwamo zitto junior.
Majibu wameyapata ukiwamo wewe:
Mwabukusi, Slaa, Lissu na wa namna hiyo Wana hoja nzito.
Walipo tupo!
Ila Watanzania ni waoga katika kutetea haki.
Maandamano yanaendana na kutoa uovu uliokaidi kwa mtutu na sio mbinu ya kulambishana pipi hii unayotaka CCM ikufanyie.Kumbe unataka tuanzishe vikundi vya waasi..... sasa kumbe unakiri hata maandamano hayakuzaa matunda hadi walipobeba silaha?
Hebu angalia Watanzania walivyo wa ajabu mimi nilijua ile by election ya Mkoani Mbeya Watanzania badala ya kuonesha hisia zao kwenye Ballot kwa kuiadhibu CCM wameenda kuipa landslide.
Hawa watu hawako tiyari kwa ukombozi unaweza ukajikuta unakufa pekee yako.