Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

CCM ni wapuuzi sana wamewapumbaza Watanzania kwa vitu vya kijinga kijinga wewe ukitaka kuwakomboa wanakuona wewe ndio msaliti.

CCM imeua elimu halafu inashinikiza watu wawe machinga.

Nchi inaendeshwa Kiswahili swahili wanaambiwa ndio uzalendo kuwa masikini.

Zaidi sana naona tuko hapa:

F6kGqZLXMAATAgq.jpeg

Muhimu sana kuona nje ya box ndugu.

Mwabukusi, Slaa na wa namna hiyo si wajinga.
 
Siku Wananchi wakichoka hakuna cha Mwabukusi wala Slaa wenyewe wataingia Mabarabarani so far wako bize na YANGA SIMBA mchana usiku VIGODORO.

Hebu tazama maandamano ya YANGA
View attachment 2769566
Mambo 'serious', yanageuzwa kuwa ya mzaha mzaha kiasi hiki!

Ni kweli kabisa, katika maandamano hayo ya Yanga, hakuna hata mmoja wa hao watu aliyelazimishwa kuwepo hapo. Wote wapo hapo kwa hiari ya mioyo yao.

CHADEMA wakiitisha maandamano, hata watu walio na hiari ya kuhudhuria maandamano yake wanaanza kufikiria polisi wenye mabomu na mambo chungu nzima; lakini haya kwa upande wa watu aina ya hii inayofanya mzaha na maswala mazito, kila kitu kwao ni vichekesho tu, kama hiyo nitakayokuwekea kwenye bandiko lako hili, nikiungana kwa uchungu mkubwa na hao wengine walionitangulia kufanya hivyo.
 
Unafiki upi sasa? Mbona CHADEMA walisusia kikao cha Samia.... mbona pia wamepinga mkataba wa bandari alitaka wafanyeje?
Una hoja. Angeweza kuzungumzia upande wake bila kuwashambulia wapinzani. Watanzania ni watu wako delicate sana kiakili na wakiyumbushwa kidogo tu wanayumba na kukata tamaa.
 
Kwani wapi unamwona anawaongelea au ana pressure na chadema?

Hoja za Mwabukusi zimeporwa na kupotoshwa na ma CCM.

Tulipo sasa Kuna vibaraka na wengine Kwa kutojitambua walio team up na CCM dhidi ya Mwabukusi.

Kwamba Unaweza vipi kuungana na CCM hata dhidi ya shetani?
"Tulipo sasa, kuna vibaraka na wengine kwa kutojitambua walio team up na CCM dhidi ya Mwabukusi"

Umegonga penyewe hasa, mkuu 'Brazaj'.
 
CCM ni wapuuzi sana wamewapumbaza Watanzania kwa vitu vya kijinga kijinga wewe ukitaka kuwakomboa wanakuona wewe ndio msaliti.

CCM imeua elimu halafu inashinikiza watu wawe machinga.

Nchi inaendeshwa Kiswahili swahili wanaambiwa ndio uzalendo kuwa masikini.
You are correct dear. CCM iliua elimu na uwezo wetu watanzania kutafakari na kutuacha kama nyumbu. Ndiyo maana rais anaweza kufanya jambo la kijinga kabisa na hakuna mwananchi anayejali.
 
Una hoja. Angeweza kuzungumzia upande wake bila kuwashambulia wapinzani. Watanzania ni watu wako delicate sana kiakili na wakiyumbushwa kidogo tu wanayumba na kukata tamaa.

Umemsikiliza Mwabukusi mwenyewe au umetosheka na alichoandika mleta mda?

Usibanie bando sikiliza mwenyewe kuiona tofauti iliyopo.

Mwabukusi si mburula!
 
"Tulipo sasa, kuna vibaraka na wengine kwa kutojitambua walio team up na CCM dhidi ya Mwabukusi"

Umegonga penyewe hasa, mkuu 'Brazaj'.

Wengi wameishia kusoma alichoandika mleta mada badala ya kumsikiliza Mwabukusi mwenyewe akijieleza.

Kingine Kuna la kujitathmini. Adui wa adui yako, huyo ni rafiki yako. Kwamba chadema gani anajipanga na CCM dhidi ya Mwabukusi kwenye audio hii? Kwa agenda ipi?

Maajabu ya Mussa.
 
Kenya tunaosifia maandamano yao Raila anakuwa mstari wa mbele. Vyama vya upinzani ni dhaifu mbaya zaidi vimeiga mifumo ya CCM yaani ni dhambi kubwa kuwa na mawazo kinyume na mwenyekiti wa chama. Ni kweli mafao ya wake wa viongozi ni kulipia tendo la ndoa la viongozi si ajabu baadae na michepuko ikadai mafao.
Mpinzani alikuwa marehemu Mtikila ambaye alikuwa anapambana kwa vitendo ikiwemo kuipambania mgombea binafsi.
 
Na ikitokea Samia akampa cheo anaitosa Movement yote anakuwa kama sio Slaa vile.

Una taabu na Slaa kama binadamu. Makosa makubwa.

Iko Hivi ndugu: Samia leo akiona umuhimu wa katiba mpya sasa tunamwunga mkono vile vile!

Kwa maana nyingine shetani akituunga mkono kwenye harakati hizi hatuna taabu naye pia.

Mbowe au Lissu wakighairi leo tunawapiga chini vile vile!

Ni ngumu kuona hilo?
 
Nimeishi na kusomea Kenya mindset ya Mtanzania iko tofauti sana na Mkenya mpaka huwa najiuliza Artificial Borders zinawezaje kubadilisha tabia za watu kiasi hicho Mkenya anajitambua zaidi na yuko active kwenye mambo yanayomhusu iwe kwenye kabila lake au jamii yake.

Mtanzania wa Kilimanjaro Arusha Manyara anaweza kufanana kidogo na Mkenya hata CCM wenyewe hupata tabu sana kwenye maeneo hayo.

Mkenya aneweza kuingia barabarani hata wakiwa watano.
Again, 'generalization' isiyokuwa sahihi kabisa. Mluhya wa Kenya, au Mkamba, utamfananishaje na Mjaluo au Mkalenjin au Mkikuyu?
Unaposema mKenya, unasahau kuwa nchi hiyo inatofauti kubwa sana kati ya watu wao ndani kwa ndani ya nchi hiyo?
 
Kenya tunaosifia maandamano yao Raila anakuwa mstari wa mbele. Vyama vya upinzani ni dhaifu mbaya zaidi vimeiga mifumo ya CCM yaani ni dhambi kubwa kuwa na mawazo kinyume na mwenyekiti wa chama. Ni kweli mafao ya wake wa viongozi ni kulipia tendo la ndoa la viongozi si ajabu baadae na michepuko ikadai mafao.
Mpinzani alikuwa marehemu Mtikila ambaye alikuwa anapambana kwa vitendo ikiwemo kuipambania mgombea binafsi.

Mwabukusi yuko vizuri. Kwa mwendo huu chadema isiporejewa na busara haraka, isishangae kuwa TLP watarajiwa karibuni.
 
You are correct dear. CCM iliua elimu na uwezo wetu watanzania kutafakari na kutuacha kama nyumbu. Ndiyo maana rais anaweza kufanya jambo la kijinga kabisa na hakuna mwananchi anayejali.

Ndiyo maana Mwabukusi na wenzao wenye kujitambua wameamua kuchukutua hatua. Badala yake kina imhotep na wenzao wamechukia.

Hiiiiiii baghosha!
 
Herd mentality isikusumbue ndugu mimi siwezi kuburuzwa na Slaa na Mwabukusi nyie mfuateni.

Nawatakia kila la kheri mimi nasubiri Ziara ya CHADEMA nyanda za juu kusini nikamsalimie Erythrocyte huko Kyela.
😂😂🔥🐼
 
Ndiyo maana Mwabukusi na wenzao wenye kujitambua wameamua kuchukutua hatua. Badala yake kina imhotep na wenzao wamechukia.

Hiiiiiii baghosha!
Mkipanga siku ya Maandamano wao wanapanga siku hiyo mechi ya YANGA na SIMBA.

Waandamanaji wote wanajazana kwenye runinga huku wakiwa wameshabeti utaawambia nini?
 
Ni kweli mafao ya wake wa viongozi ni kulipia tendo la ndoa la viongozi si ajabu baadae na michepuko ikadai mafao
Was it necessary? Kwamba wake za viongozi wanalipiwa ngono? Sasa bandari na kulipia ngono wapi na wapi?
Kenya tunaosifia maandamano yao Raila anakuwa mstari wa mbele
Kwamba Mbowe hakua mstari wa mbele walipopigwa risasi pale Mkwajuni?
ni dhambi kubwa kuwa na mawazo kinyume na mwenyekiti wa chama.
Sio kweli, Mbona Mbowe kila siku anakiri kuwa kamati kuu inampinga kufanya maridhiano na kwenda kwenda ikulu? Mbona Lissu anapinga wazi wazi maridhiano!! Kuna aliyetimuliwa?
 
Back
Top Bottom