Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mim binafsi sisupport mahandamano hatuna watu wakupambana watanzania walisharidhika na hali zaoHebu angalia Watanzania walivyo wa ajabu mimi nilijua ile by election ya Mkoani Mbeya Watanzania badala ya kuonesha hisia zao kwenye Ballot kwa kuiadhibu CCM wameenda kuipa landslide.
Hawa watu hawako tiyari kwa ukombozi unaweza ukajikuta unakufa pekee yako.
Kama lissu alipigwa risasi na hakuna kilichotokea, uchaguz wa 2020 ulifanyika uharamia wa wazi wazi na watu wakawa wanashangaa kama mazoba usitegemee waje kuandamana
Siku Mungu akiamua ccm watatoka madarakani lakin tofauti na hapo ni ngumu sana watanzania wamelala usingizi wa pono