Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

Sasa si aanzishe chama chake ili kiwe anavyotaka? Zitto na Kitila walianzisha chama Chao walipoona Mbowe hafai!

Yeye anatukana wenzie wakati aligombea ubunge 2020 licha ya kujua hakuna tume huru
Kwani Chadema ni mali ya nani ?
 
Maandamano ya kuipinga serekali ya CCM kwa wananchi wa Tanzania bado kabisa, labda kizazi cha watanzania waliopo kipukutike chote kizazi kipya ndicho kije kuandamana kuipinga serekali.

Maandamano ya watanzania ni kuiunga mkono serekali,zaidi ya hapo utapiga kerere wee,hakuna atakayekusikiliza kuandamana kupigania haki zake,mwisho wake utaishia kufungwa jela au kufilisiwa na hakuna atakayeandamana kukutea,dawa ni kuwaacha waendelee kubamizwa na serekali yao akili zikiwakaa sawa ndipo watakapoona maana ya kuandamana kwa ajili ya kupigania haki zao.
 
Kwa hiyo sababu watu wanakufa hivyo wasiandamane ?

Una miaka mingapi dogo ?
Nachosema maandamano yalishafanyika sana ila zaidi ya watu kufa sijaona kilichoibadilisha ccm. Maandamano au mapinduzi bila back up ya JWTZ ni kupoteza muda tu. Kama kuna njia ya dialogue inaweza saidia it's the best strategy and so far it has worked in the favor of chadema IKIFELI ndio mnaingia barabarani.
 
Ataungwa mkono na WA aina ya kina imhotep tu
Harakati za kudai uhuru wa bendera ziliua mamia kwa mamia ya watu lakini watu hawakuacha kupambana.

Ulaya WW1&2 zimeua mamilioni kwa mamilioni ya watu lakini wazungu hawakuacha kupambana mpaka ushindi wakapata.

Anakuja mwendawazimu hapa anataka watu wawe nyoronyoro kwa CCM washenzi.

Anafikiri sijui tumekuja kulinda dunia hapa.
 
Ulaya WWW1&2 zimeua mamilioni kwa mamilioni ya watu lakini wazungu hawakuacha kupambana mpaka ushindi wakapata
Raia wao walikuwa serious sio kama hawa wa kwetu. Huku wako busy kujadili makalio ya Zuchu unadhani wanaelewa hata katiba au bandari ni kitu gani?
 
Huyu anajiona yeye ndiyo mwanaharakati wakwanza Tz kisa kaibuka miezi kadhaa ilopita...watu wamefanya harakati kibao Miaka kibaoo wamerisk vitu kibao Leo mbinua mdomo mmoja anajikuta wapekee 😳😳🤣🤣🤣
 
Unataka kusema dunia Ina uchungu sana na rasilimali zilizopo Tanzania kuliko zilizopo DRC na kwingineko??
Hawataki DRC iendelee ijenge mabarabara kwasababu wanasema Wakongo watavuna lile Pori kwa urahisi.
 
Nachosema maandamano yalishafanyika sana ila zaidi ya watu kufa sijaona kilichoibadilisha ccm. Maandamano au mapinduzi bila back up ya JWTZ ni kupoteza muda tu. Kama kuna njia ya dialogue inaweza saidia it's the best strategy and so far it has worked in the favor of chadema IKIFELI ndio mnaingia barabarani.
Narudia tena wakomunisti wa uchina walianza kupambana na KMT na imperial Japan kutoka mwaka gani kwa njia ya maandamano, mapambano ya msitu mpaka uhuru wao walichukua baada ya miaka mingapi kupita ?
 
Sisi wanachama.... ila Mwabukusi sio mwanachama asitupangie kama hawezi aanzishe chama chake
Kumbe chama ni mali ya wanachama sio mali ya mtu binafsi ? Anhaa

Kwa nini sasa unataka mwambukusi aanzishe chama chake binafsi wewe utakuwa mkewe mtunza hadhina ?
 
Raia wao walikuwa serious sio kama hawa wa kwetu. Huku wako busy kujadili makalio ya Zuchu unadhani wanaelewa hata katiba au bandari ni kitu gani?
Nani alikuambia Watanzania hawapo serious ? Hao Watanzania wa Arusha ulio watolea mifano wao ni misukule tofauti na wengine ?
 
Chadema na Ruzuku ni kama Wali na Maharage

Inajulikana ninyi mtatumia sababu zozote hata za kijinga kutaka kutufarakanisha ila hatudanganyiki!

Alipo Slaa, Mdude, Lissu, Mwabukusi, Kigaila na wa namna hiyo tupo!
 
Ataungwa mkono na WA aina ya kina imhotep tu
Herd mentality isikusumbue ndugu mimi siwezi kuburuzwa na Slaa na Mwabukusi nyie mfuateni.

Nawatakia kila la kheri mimi nasubiri Ziara ya CHADEMA nyanda za juu kusini nikamsalimie Erythrocyte huko Kyela.
 
Nani alikuambia Watanzania hawapo serious ? Hao Watanzania wa Arusha ulio watolea mifano wao ni misukule tofauti na wengine ?

Hizo ndizo kauli ambazo Mwabukusi hazitaki. Kwamba watanzania wapi ni waoga! Sasa ma CCM na vibaraka wao wako full kuchukia
 
Hizo ndizo kauli Mwabukusi hazitaki sasa ma CCM na vibaraka wao wako full kuchukia
Hawa wajinga wanapaswa kufahamu kuwa ule ushenzi wa wapinzani kusema tunaunga mkono juhudi chini ya jiwe na kuhamia CCM uliwavunja moyo Watanzania wengi sana.
 
CCM ni wapuuzi sana wamewapumbaza Watanzania kwa vitu vya kijinga kijinga wewe ukitaka kuwakomboa wanakuona wewe ndio msaliti.

CCM imeua elimu halafu inashinikiza watu wawe machinga.

Nchi inaendeshwa Kiswahili swahili wanaambiwa ndio uzalendo kuwa masikini.
 
Herd mentality isikusumbue ndugu mimi siwezi kuburuzwa na Slaa na Mwabukusi nyie mfuateni.

Nawatakia kila la kheri mimi nasubiri Ziara ya CHADEMA nyanda za juu kusini nikamsalimie Erythrocyte huko Kyela.

Mkuu Mimi siwezi kuburuzwa na ma CCM na vibaraka wao au kuwa chawa wa mtu awe Mbowe au hata Lissu.

Chadema ninayoitambua Haina adui wala rafiki wa kudumu.

Akizingua yeyote tunapiga chini hata kama ni Lissu au Mbowe. Akirudi kutuelewa yeyote tuko naye hata kama ni katambi au Slaa.

Kuzingua ni x7x70.

Kutuelewa ni x7x70.

Hizi ndizo siasa zinazomtisha CCM.

Habari ndiyo hiyo.
 
Mbowe, Lissu tunawapa pole za kupigwa risasi na kufilisiwa lakini hii struggle siyo ya watu binafsi sababu kuna watu wamekufa kabisa kwa ajili ya mapambano ya kuitoa CCM. Je hao utawambia nini familia zao? Viongozi wa sasa hawana mbinu, ari wala mikakati ya kiuhalisia wakuitoa CCM. Wakina Mwakubusi wanajaribu kuratibu maandamano na civil disobedience na hiyo ndio lugha CCM wanaelewa na kuogopa. Hivi nyie mnawezaje kuwa waastarabu kwa watu wanaoiba kura mchana kweupe huko Zanzibar na mkaamini watabadilika na kuwa waastarabu? Eti unaongelea vyuo vya Uongozi, Diplomacy una akili kweli wewe? Unapambana na mhuni wa Mbagala kwa technique za Oysterbay.
Kwanini huyo mwakubusi asiendelee na harakati zake kwani chadema wamemkataza kila mtu atumie mbinu anayojua yeye
 
CCM ni wapuuzi sana wamewapumbaza Watanzania kwa vitu vya kijinga kijinga wewe ukitaka kuwakomboa wanakuona wewe ndio msaliti.

CCM imeua elimu halafu inashinikiza watu wawe machinga.

Nchi inaendeshwa Kiswahili swahili wanaambiwa ndio uzalendo kuwa masikini.

Tatizo hili hapa ndugu:

1664543999224.jpg

Shghuli Iko hapo.
 
Kwanini huyo mwakubusi asiendelee na harakati zake kwani chadema wamemkataza kila mtu atumie mbinu anayojua yeye

Kwani wapi unamwona anawaongelea au ana pressure na chadema?

Hoja za Mwabukusi zimeporwa na kupotoshwa na ma CCM.

Tulipo sasa Kuna vibaraka na wengine Kwa kutojitambua walio team up na CCM dhidi ya Mwabukusi.

Kwamba Unaweza vipi kuungana na CCM hata dhidi ya shetani?
 
Back
Top Bottom