Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

Anachotaka Mwabukusi kwa CHADEMA ni sawa na kumtaka rafiki amuachie msela ghetto lake akalale na malaya. Rafiki ni CHADEMA na msela ni Mwabukusi.

Utakuwa ni mjinga kumuachia msela anajisi chumba chako
 
Anachotaka Mwabukusi kwa CHADEMA ni sawa na kumtaka rafiki amuachie msela ghetto lake akalale na malaya. Rafiki ni CHADEMA na msela ni Mwabukusi.

Utakuwa ni mjinga kumuachia msela anajisi chumba chako

Hata sijui unaongea nini. Keep up.
 
We mdau una hoja nzito na mujarabu. Mtu pekee nitakayeamin amedhamiria kuleta mustakabari wa kisiasa nchini ni yule tu atakayekuja na mbinu za nguvu, jasho na damu!
Hata walioko madaraka wanalijua hili.
The truth is some people have to die for others as Jesus did. (Unfortunately enough, am not Jesus!)
 
Nina haja ya kujitambulisha u CHADEMA kuliko Mdude Nyagali (Mpaluka)?

Tofautisha uanachama na kuwa chawa ndugu.

Uchawa uliouongelea hapa, si ni ule ule wa CCM tu? Kwamba ni mwendo wa kumshukuru Mama?

Kazi kweli kweli.
 
Zikianzishwa hizo ubunge na ruzuku zitapatikana? Hapo ndipo pa kuanzia kutafakari.
 
Nina haja ya kujitambulisha u CHADEMA kuliko Mdude Nyagali (Mpaluka)?

View attachment 2771420

Tofautisha uanachama na kuwa chawa ndugu.

Uchawa uliouongelea hapa, si ni ule ule wa CCM tu? Kwamba ni mwendo wa kumshukuru Mama?

Kazi kweli kweli.
Mimi sio ""Chawa" ila nafuata maelekezo na sera za Chama, Mdude kaamua kufuata Wanaharakati wa Bandari rukhsa sisi tuna mikutano yetu kanda ya Nyasa tutaenda kuungurumia huko kama tulivyofanya kanda ya Ziwa Serengeti.

Tusipelekeshwe na Wanaharakati wa matukio.
 
UFuata maelekezo kama ling'ombe ndiyo definition yenyewe ya u chawa hiyo ndugu.

Habari ndiyo hiyo.
 
UFuata maelekezo kama ling'ombe ndiyo definition yenyewe ya u chawa hiyo ndugu.

Habari ndiyo hiyo.
Ndio inayonitofautisha mimi na wanaharakati wa matukio.

Na kaa ukijua kuna matukio mengine ni staged na kitengo ili kututoa kwenye ajenda zetu lazima tulijue hilo.

Tusifikiri kila kinachovujishwa kina lengo zuri.
 
Ndio inayonitofautisha mimi na wanaharakati wa matukio.

Na kaa ukijua kuna matukio mengine ni staged na kitengo ili kututoa kwenye ajenda zetu lazima tulijue hilo.

Tusifikiti kila kinachovujishwa kina lengo zuri.

Kwanini hudhani matukio staged na kitengo ni haya mnayo dansi nayo sasa?

Kumbuka imeshindikana kusitisha maandamano ya nchi nzima Kwa mustakabala wa watu. Tumekuwa tukisema taabu ni viongozi wao wakidai taabu ni watu.

Kulikoni Sasa wao kukomaa kama vipi haya ya kina Slaa nayo yakwame? Huoni hii ni kujitolea kufanya ya kitengo Kwa kujua au kutokujua?
 
Sasa hivi tuna wasiwasi hata Mwabukusi ni agent wa Kitengo na kama tujuavyo NCCR imejaa "Mashushushu".

Na lengo kuu hapa kinachotafutwa ni CHADEMA ifutiwe usajili, acheni Mwamba aitwe Mwamba kawashtukia.

No hate No fear ✌️💯
 
Mmerukia ramli siyo? Kumbe kama ni kushukiana shukiana kwa nini tusianze kuwashuku ninyi na hasa wewe au yeyote yule?

Tambua mkiishiwa hoja ni kawaida yenu kukimbilia ramli.

Kwa mwendo huu mtawashuku Hadi kina Mdude na kina Lissu.

Tatizo liko wazi: ubunge + ruzuku!
 
Mwabukusi ni Moshi tu huo unapita. He is just a joke.
 
Hii Nchi bado ina Ukomunisti japo wa kichwara, na bado wanatumia sana Mashushushu kukilinda Chama chao cha Kikomunisti uchwara. ndio maana kuna msemo kuwa "wasiwasi akili".

Sisi Issue ya Bandari tutaiongelea kivyetu kwenye mikutano yetu bila kuburuzwa na Mashushushu.
 
Hata Dotka Mihogo huenda amekuwa agent wa kitengo tumewashtukia.
 
Ninyi mna agenda za chama. Za wananchi hamna haja nazo. Msichojua ni kuwa za wananchi ni supreme.

Iko hivi: agenda zikija za wananchi viz a viz za vyama, waungwana tunaungana na wananchi.

Zingatia ruzuku na ubunge si vipaumbele vya wananchi na hapo ndipo mlipochachawa sasa. Udenda unawatoka midomoni.

Msipoangalia hiki chama mtakifanya kuwa TLP nyingine.
 
Ninyi mna agenda za chama. Za wananchi hamna haja nazo. Msichojua ni kuwa za wananchi ni supreme.
Uzuri Wananchi wanaujua moto wetu CHADEMA, na wanajua fika kuwa Dikteta Hayati Magufuli alitumia fedha na Dola katika kutaka kuisambaratisha CHADEMA, na japo Demage ipo ila sio kuubwa vile, ndio maana Mwamba anasema tufanye ziara kuwatembelea Wananchi na kuwaeleza jinsi CCM inavyoifisadi Nchi na kukijenga Chama chetu kinachowindwa kama Digidigi.

Hawa kina Mwabukusi wao wafanye kivyao sisi tunaendelea na ratiba zetu NONGWA iko wapi?
 
Inaweza kuwa wewe na awaye yote huenda mmekuwa agents wa kitengo tumewastukia. Kwani ma agent Wana alama nyusoni?
Hiyo kazi siwezi kuifanya hata siku moja. Mimi ni muumini wa ANTI FASCISM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…