Ushauri kwa Walevi : Pombe mbaya jamaa jana nimetukanwa sana na Mlevi

Hii ni nzuri sana mkuu, nitaitumia na mimi hii.
 
Kwa masikitiko makubwa ,naichukua nafasi hii kusema na kukuomba msamaha ndugu Lethergo kwa alochofanya ndugu yetu kwako .

Ila naendelea kutoa rai kuwa na sisi ni raia kuna mda tuna mapungufu yetu hivyo tuvumilieni tu .

Ahsante na tunaomba utusamehe hatutarudia tena
 
We mlokole mwenye vidole tuache mpaka tarehe kumi ndio uropoke vinginevyo ni wivu tu unakusumbua baadae ya kumaliza pesa za uniform za wanafunzi watoto wako acha tule bia pesa ipo
 
We mlokole mwenye vidole tuache mpaka tarehe kumi ndio uropoke vinginevyo ni wivu tu unakusumbua baadae ya kumaliza pesa za uniform za wanafunzi watoto wako acha tule bia pesa ipo
Ukishalewa kalale usisumbue watu si umelewa kwa pesa zako sasa kwanini unalewa na kuanza kusumbua watu?
 
Nyinyi msiokunywa mnakuaga na dharau sana ukisha gundua mtu kaweka vitu mnakuaga na vineno flani vya fedhea Acha mitusi muioge, na usivyojua pombe unafikiri mtu aliyekunywa unaweza kumpiga na kumuua kirahisi wakati wengine wakilewa ndio wanakua simba. We siku jichanganye ukifikiri kila mtu anaekunywa ni mwepesi
 
Ukilewa kalale au wapigie polisi waje wakuchukue wakusindikize mpaka kwako ukalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…