Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Hizo kawaida mkuu sasa kuna watu wanapiga nusu kreti na bado anagonga tena na vikali vingine in short anamix ngano na spirit2,3 mpaka 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kawaida mkuu sasa kuna watu wanapiga nusu kreti na bado anagonga tena na vikali vingine in short anamix ngano na spirit2,3 mpaka 4
Hii ni nzuri sana mkuu, nitaitumia na mimi hii.Kwangu mimi (si lazima iwe hivyo kwa kila mtu) hii inatakiwa ufanye huku friji limejaa bia.
Kama unafanya huku huna bia/pombe, utajuaje kuwa hunywi pombe kwa sababu umechagua kutokunywa, na si kwamba umeishiwa tu pombe?
Mimi ninavyosema nimeacha kunywa, nina mini bar ina Scotch Whisky, Vodka, Gin, Tequila na Wine.
Halafu nina friji la garage lina bia kibao.
Na sijazigusa mwaka mzima.
Lakini zipo, siku nikipata mgeni anakunywa nitampa anywe.
Na kuwapo kwa pombe hizo mwaka mzima ndani ya nyumba, bila ya mimi kuzigusa, na bila ya mimi kulazimishwa na mtu au kitu chochote nisinywe, ndiyo uthibitisho kwangu kwamba nimeamua kukataa mwenyewe kunywa pombe.
Kuna kipindi nilikuwa nakunywa hizo bia mbili kila siku, nikaongeza uzito sana 😅Hizo kawaida mkuu sasa kuna watu wanapiga nusu kreti na bado anagonga tena na vikali vingine in short anamix ngano na spirit
Kwa hio ukaongeza idadi mpaka 4 ili upunguze uzito?Kuna kipindi nilikuwa nakunywa hizo bia mbili kila siku, nikaongeza uzito sana 😅
1year and 6 days and you say free😂😂😂Alcohol free since January 1 2024.
2024 mzee katoboa mwaka tangu 1 January 2024 hii ni 20256 days and you say free😂😂😂
At least 4 years
Kutupa hapana hizi ni pesa etihizo zitupe utakuwa umeanza safari moja kwenda nyingine ukisema uzimalizie tu ndo basi,
Hizi ndo shida za kuzimua asubuhi 😂2024 mzee katoboa mwaka tangu 1 January 2024 hii ni 2025
Soma kwa umakini tena6 days and you say free😂😂😂
At least 4 years
Tatizo hujui kusoma.6 days and you say free😂😂😂
At least 4 years
Kwa kweli nimekamatika😂Tatizo hujui kusoma.
Soma comment kabila mkuu yaan zimua soma kabla hujacommentHizi ndo shida za kuzimua asubuhi 😂
Naparamia comment kabla sijaisoma😂😂
Kapalamia since 1 January 2024 hajaelewaTatizo hujui kusoma.
Ukishalewa kalale usisumbue watu si umelewa kwa pesa zako sasa kwanini unalewa na kuanza kusumbua watu?We mlokole mwenye vidole tuache mpaka tarehe kumi ndio uropoke vinginevyo ni wivu tu unakusumbua baadae ya kumaliza pesa za uniform za wanafunzi watoto wako acha tule bia pesa ipo
Ameamka nazo huyo bado anataka kuzimua tena upyaSoma kwa umakini tena
Ukilewa kalale au wapigie polisi waje wakuchukue wakusindikize mpaka kwako ukalaleNyinyi msiokunywa mnakuaga na dharau sana ukisha gundua mtu kaweka vitu mnakuaga na vineno flani vya fedhea Acha mitusi muioge, na usivyojua pombe unafikiri mtu aliyekunywa unaweza kumpiga na kumuua kirahisi wakati wengine wakilewa ndio wanakua simba. We siku jichanganye ukifikiri kila mtu anaekunywa ni mwepesi