Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hill yamepanda lini tena bei?Habarini za Usiku ndugu Zangu poleni na Majukumu ya kazi ya wiki nzima huku tukisubiri bia za Bure kutoka kwa Konda boy
Nirudi kwenye mada, Hill Water mliingia vizuri sana kwenye soko mkapindua pindiua woote waliokuepo, mkawa nyinyi tuuuu, si masafi, si uhai, si Kili mkagaragazaaaa
Mmeongeza Tshs.100 tu kufanya 600, mmejiua Wenyewe, mmejizika, mtapotea kwenye soko, muulizen Uhai alipoongeza 100 ikawa 600 alijuta na Masafi ikatake over soko mpaka mkaja kuishinda.
Kuna mwingine kaingia sokoni CANADIAN PURE Tshs 500 tu, huyu atakua mzikaji wenu
Huu ni ushauri tu mnaweza kuuchukua au kiuacha
Usiku mwema
Naambatisha picha kwa maelezo zaidiView attachment 1052563
Mtumishi naomba ubadili hiyo avatar[emoji23] hayo macho mmmh!!!
Mtaani kwetu Masafi ya 1.5ltr unayapata kwa 500 tu!!.. Hillwater sijawahi hata yaona chupa yake!..
[emoji39][emoji39][emoji39]sawa mtumishi natoa
Temeke ya kati huku!..Me chupa niliyoipenda ilikuwa Dew sijui yakapotelea wapi tu!..upo pori gan mkuu🤗
Temeke ya kati huku!..Me chupa niliyoipenda ilikuwa Dew sijui yakapotelea wapi tu!..
[emoji39][emoji39][emoji39]
Hayo macho jamani, halafu unanipa kopa, nazidi kuweweseka[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39][emoji7][emoji7]
😀😀😀😀😀mtumishi ww nomaHayo macho jamani, halafu unanipa kopa, nazidi kuweweseka[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23] tabia yako hiyo...we haya tu!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mtumishi ww noma
Mbona huku kwetu bukuMtaani kwetu Masafi ya 1.5ltr unayapata kwa 500 tu!!.. Hillwater sijawahi hata yaona chupa yake!..