Ushauri kwa wamiliki wa HILL WATER

Ushauri kwa wamiliki wa HILL WATER

Habarini za Usiku ndugu Zangu poleni na Majukumu ya kazi ya wiki nzima huku tukisubiri bia za Bure kutoka kwa Konda boy

Nirudi kwenye mada, Hill Water mliingia vizuri sana kwenye soko mkapindua pindiua woote waliokuepo, mkawa nyinyi tuuuu, si masafi, si uhai, si Kili mkagaragazaaaa

Mmeongeza Tshs.100 tu kufanya 600, mmejiua Wenyewe, mmejizika, mtapotea kwenye soko, muulizen Uhai alipoongeza 100 ikawa 600 alijuta na Masafi ikatake over soko mpaka mkaja kuishinda.

Kuna mwingine kaingia sokoni CANADIAN PURE Tshs 500 tu, huyu atakua mzikaji wenu

Huu ni ushauri tu mnaweza kuuchukua au kiuacha

Usiku mwema


Naambatisha picha kwa maelezo zaidiView attachment 1052563
Hill yamepanda lini tena bei?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hill water aliteka soko kweli kapandisha bei na lita 1 sidhani kama inafika,Mo Masafi kaleta 1.2L kwa Tsh 500.
 
Back
Top Bottom