Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Ulichoandika ni Ukweli Usiopingika. Naongezea Hapo Tunyama. Upate Mwanamke uanemudu na pia

• Umfanye Awe Social na Economic Insecure. Hapo utampeleka Kama Rimoti.

Nawasilisha.
Lengo sio kumpeleka Mkuu
Lengo ni kumwongoza na stability
Nawasilisha
 
Narudia tena
Soma na uelewe vema
Nimetoa more than one determinant na nyingine sijaandika ila sifa za kiongozi bora ni kumudu majukumu yake vema ikiwemo wale anaowaongoza.

Mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja

Nawasilisha
ngoja nisubirie wengine ila nimependa mdau mmoja hapo amesema chukua unayemmudu ila hakikisha unamfanya financial insecure hapo utaishi maisha matamu sana lakini hawa manaokimbizana kulipa Board Loan......uanze kuniambia nina degree, mara nataka nikasome masters, sijui niko busy kazini..Mpendwa aolewa na hiyo digrii yako
 
Acha uoga wa maisha na inferiority complex
Mwache afanye kazi na wewe pambana kwa faida ya familia.

Tunasomesha binti zetu ili waje kuwa mama wa nyumbani?

Lengo la Mungu kumuumba mwanamke sio tu kuwa msaidizi , msaidizi ni moja ya malengo kati ya mengi ila kuna kusudi ambalo limewekwa ndani yake na Kichwa kinapaswa kumsupport na kumuongoza katika hilo pia

Sema tu baadhi mabinti wa kisasa wanalelewa na ufeminist kuwa nipate kazi mwanaume asinizuzue, that is mistake.

Ila mwanamke kuwa na kazi/ biashara/ kipato ni kitu chema na kinapaswa kuwa supported na mwanaume yoyote mwenye akili/kichwa.
 
Umeongea vitu vingi sana ebu rudi kwenye hoja ya Mume kuwa Kichwa? sasa mbona umeleta Ufeminism tena? sasa lipi linapshwa kufanyika Mwanaume akawa Kichwa cha Familia na niwakati gani? Nitashukuru ukilifafanua unaweza nibadilisha kuniondoa kwenye uoga uliousema
 
Ufafanuzi

Ufafanuzi nisaidie hivi Wanawake mnakuwa manamaanisha nini mkisema .. Mwanaume ni Kichwa cha Familia??? Kama ni Kichwa cha Familia kwa nini akikwambia acha kazi unashupaza shingo? Ukichwa mnaousema upo kwenye upande upi.. Wakugegeda au?
Mhh kuacha kazi tena😅
 
In summary

Mwanaume by nature ni kichwa na hiyo ndo asili ya uumbaji ni wewe tu kujua namna ya kutumia nafasi yako na usimame vpi kuongoza familia..Haiitajiki ufoke ili uwe kichwa au useme mimi ndo baba wa hii familia ili iwe kichwa, au umwachishe kazi mke wako kibabe ili uwe kichwa...

Sina maelezo ya ziada mkuu
Kama hujaelewa hapa basi soma maandiko utazidi kuelewa as sitakuwa na jibu la ziada zaidi ya hili

Kichwa ni asili ya uumbaji wa kiMungu
Usiku mwema.
 
turudi kwenye Maandiko..... Adam na Hawa? What went wrong? Adam hakuwa Kichwa? Kwa nini Hawa hakujua uwepo wa Kichwa ndani hadi kuchepuka na kupiga story na Nyoka?
 
Ulichoandika ni Ukweli Usiopingika. Naongezea Hapo Tunyama. Upate Mwanamke uanemudu na pia

• Umfanye Awe Social na Economic Insecure. Hapo utampeleka Kama Rimoti.

Nawasilisha.
Ehh hivi hili ndio lengo la ndoa/mahusiano?
 
Ufafanuzi

Ufafanuzi nisaidie hivi Wanawake mnakuwa manamaanisha nini mkisema .. Mwanaume ni Kichwa cha Familia??? Kama ni Kichwa cha Familia kwa nini akikwambia acha kazi unashupaza shingo? Ukichwa mnaousema upo kwenye upande upi.. Wakugegeda au?
Bonge la offer,,,,yaan mi naacha chap aisee
 
Nakukunda umeelewa hapa kwa mkupuo
Nioneshe sehemu niliyosema ni kanuni

Nimesema kummudu kiwe kigezo kati ya vigezo vyako vingi ambavyo mimi sivijui

Na nimesema (not all size fit for all)

Nitakuwekea mikono uelewe

Kikubwa acha negative attitute kwa wanawake

Wanawake ni wasaidizi na watu wema sana .special creation na Mungu alitulia sana alipowaumba.
 
Habari

Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa

Nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza wenye haiba mbalimbali, utashi, tabia, uwezo na personality nk

Muhimu kwa kaka na wadogo zangu wa kiume

Pamoja na vigezo vyako vingi unavyoweza kuwa navyo kama uzuri, tabia, sura , mbususu tamu nk..

Ukitaka kuchagua mke/mwanamke tafuta unayemmudu na weka hiki kama moja ya kigezo kikubwa

Nikisema kummudu simaanishi kifedha tu namaanisha all aspects sababu kwa mujibu ya maandiko ya dini yangu, Mume ni kichwa hii 50/50 ndo meanza kuleta shida kwenye maisha.

Mke anapaswa kuwa mshauri mkuu na msaidizi kwa mujibu wa maandiko, ila pale ambapo mwanaume hasimamii vizuri nafasi yake kama kichwa, hapo ndipo matatizo huwa yanaanza.

Hizi story za kanipiga kizinga huwezi kuzikuta kwa mwanaume aliyemchagua mwenza anayemmudu.Ukiona uwezo wako ni wakina Mwajuma kandambili basi chagua huko, Ukiona uwezo wako ni wakina Wema Sepetu basi chagua hao, ukiona uwezo wako ni kina Jackline Mengi basi chagua type hizo.

Mmudu kifedha simaanishi kuwa tajiri hapa namaanisha yule unayeweza kuafford kwa uwezo wako. Sisi wanawake bana ni receiver by nature, hata kama ukiwa billionea trust me hela ya mume/mwanaume ni tamu jamani kama kuna anayebisha anyoshe mkono. Men are provider by nature and women are receiver by nature. Hata nature ya maumbile yanaonesha hilo kwa maana ya maumbile ya kiume yamechomoza mbele na kike ni kitundu kwa ajili ya kupokea maumbile ya kiume. Ili usipigwe vizinga vya million 3 kama kaka yangu mmoja hapa basi chagua unayemmudu na hapa si kwa mke tu hata wale mnaosakata Mbususu.

Mmudu kitabia, hapa simaanishi aliyekamilika ila ambaye unaweza kuvumilia mapungufu yake na unajua strength zake. Yule ambae akikasirika basi unaweza kumudu reaction zake, wapo wanawake wakichukia wanarusha rusha vitu ovyo kama kupasua TV, wengine wakikasirika huwa wanalia ukimhug na kumbembeleza imeisha, wapo wanaobinua mdomo kama Asha Ngedere, wapo wanaonuna..Tafuta yule ambaye unaweza kummudu kwa situation zote.

Mmudu kitandani sitapaelezea maana JF member almost wengi sana wako vzr kitandani na wana nguvu za kiume na wana PhD ya mapenzi according to nyuzi zao nyingi. Wachache tu ndo tunauwezo wa kawaida.

Naomba kuwasilisha.
Mkuu vipi wewe umeshaoa/olewa tayari?
Unammudu mwenzi wako? Maana tunaweza kummudu leo afu kesho ukamshindwa, sio kwa sababu ya kushindwa kumhudumia Ila inatokea amekutana na shule mpya inayomfanya ajihamishe kutoka level za akina Ashura ndala ndefu na kuji-upgrade kuwa level za akina Wema Sepetu, na kinyume chake, itakuwaje?
 
Back
Top Bottom