Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Umemaliza 150%, hapa najitafakari tu nirudi kijijini ndani ndani nichukue pisi saizi yangu
 
Nakukunda umesema nyie wanawake ni receiver by nature, sasa mbona nyie wenyewe huwa mna abuse hiyo nature yenu? Kuna kitabu nilisoma kimeandikwa na mdada wa kimarekani anaitwa baje Fletcher, kinaelekeza wadada jinsi ya kupata hela toka kwa wanaume bila kutoa papuchi, na wadada wengi mnapenda transaction ya aina hiyo..hela za mwanaume mnapenda kupokea ila papuchi hampendagi kutoa, au mkiitoa Papuchi mnatoa kwa shingo upande, labda kina evelyn Salt Wakusaidie kujibu Evelyn Salt Nakukunda to yeye
😳
kumbe kuna muda mnajijuwa na kubadirika kuwa wanawake😛
😛😛😛😛😛
Sikuzote nataka Ivo ila kuwe na reasonable....siyo umeniachia majukumu ya kulea familia afu unataka unitawale 😳 aisee hapo lazima ngoma ikae😠
 
Wise man cannot do such a thing my darlin
He will support you in your career

And wise woman cannot use her career to destroy family. She will be the destiny helper
Ni kweli haitakiwi kuacha kazi ila Kwa Mimi niliyechoka ualimu....aisee naacha dk 1 haiishi
 
😳

Sikuzote nataka Ivo ila kuwe na reasonable....siyo umeniachia majukumu ya kulea familia afu unataka unitawale 😳 aisee hapo lazima ngoma ikae😠
hivi hayo majukumu mnayosema kuachiwa ni yapi................ unafanya kazi huwezi kulipa bikk ya umeme, maji au hata vsiku moja kufanya shopping ya familia? sasa kama huwezi support hivyo vitu vidogo mshara wako unafaida gani kwenye ndoa na malezi ya familia?
 
Mshahara wangu wewe haukuhusu Wala usiupigie mahesabu....pesa yangu nalea wanangu ila Kwa namna gani hiyo ni juu yangu.... don't judge,wewe wajibika kama baba yaan kichwa Cha familia
 
Duuuu nimekuoa asubuhi unaondoka kwenda kazini unarudi jioni hujashinda nyumbani halafu unaenda kumtumikia mtu ambaye unachokipata hakisaidii familia yetu hata kama mimi ndiyo jukumu la kila kitu nyumbani sasa nimeoa wewe kwa ajili ya nini? kama hatuwezi kuwa na makubalia ya kushirikiana hata kwa vitu vya nyumbani? yaani from 25th hadi retirement yako unasema mshahara wako hauna chochote kwenye ndoa yako....

Oweni mnaoweza kuoa kwa kweli 😛
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
 
Hakuna sehemu nimesema silei familia,sikuzote mshahara wa mwanamke unaishia kulea familia means mpaka baba mwenyewe ila nilichosema Kwa mwanamke mfanyakaz unataka kumtawala usipigie mahesabu mshahara wake fanya majukumu Yako,akidai hiki mpe,kile mpe.....kama yeye ndo anawajibika %kubwa home jiandae kufanywa mtoto pia utatumwa mpaka kuipua uji uupoze
 
Asante Kwa ushauri ila nakushauri pia bora uoe asiye na kaz hautokuwa na kitu Cha kukuumiza
 
Hakuna mwanadamu Duniani asiyekuwa na kazi hata house girl ana kazi tofauti ni jinsi kazi hiyo inaweza isiharibu mahusiano ya kifamilia ..Lakini Kila mwanadamu hata mtoto wako ana kitu kinachumchukuwa sehemu ya muda wake..
 
Wee jifanye unahangaika kummudu mkeo wakat jirani yako anammudu zaid yako... Tafuta hela vijana mapenz yapo tu
 
Niiliyenae ananimudu vizuri kabisa na ananisupport kwenye career life.Naplay nafasi yangu na yeye anaplay ya yake maisha yanasonga.

Lkn ananimudu kwa vitu vingi sana na naenjoy kumudiwa hahahahahaha

I will never take his position kama kichwa kwangu maana nitaenda kinyime na imani yangu

Ila haikuwa rahisi kupata chemistry ya haina hiyo but i thank God amenipa.
Hongera sana,shikilia hapo kwa nidhamu kubwa!
Maana kupata Chemistry stable (strong bond) siyo kitu rahisi kwa nyakati hizi, that is why kuna idadi kubwa ya wanaume wenye watoto 7 ila unakuta kila mmoja ana mama yake, na wanawake hivyo hivyo unakuta ana watoto 4 kila mmoja na baba yake, yote hiyo ni ishara kwamba mambo kwa ground siyo tulivu kabisa!

So, ukijikuta haupo kwenye hilo kundi, unafurahia ndoa yako na mwenzi wako yupo supportive, aisee kamatia hapo kwa nguvu zote kabla haujaharibu mambo na kuingia kwenye makundi hayo hapo juu!
 
Nilikuwa nataka kuongezea kidogo....

Cha msingi apa ni miti ya kutosha...anapigwa mtu kipigo cha mwa mwitu.
 
Hongera sana,shikilia hapo kwa nidhamu kubwa!
Maana kupata Chemistry stable (strong bond) siyo kitu rahisi kwa nyakati hizi, that is why kuna idadi kubwa ya wanaume wenye watoto 7 ila unakuta kila mmoja ana mama yake, na wanawake hivyo hivyo unakuta ana watoto 4 kila mmoja na baba yake, yote hiyo ni ishara kwamba mambo kwa ground siyo tulivu kabisa!

So, ukijikuta haupo kwenye hilo kundi, unafurahia ndoa yako na mwenzi wako yupo supportive, aisee kamatia hapo kwa nguvu zote kabla haujaharibu mambo na kuingia kwenye makundi hayo hapo juu!
Mkuu haikuwa rahisi

Katika hizo songombingo hadi tukawa masingle mother tena wa mtoto zaidi ya mmoja. Nipo kwenye hilo Kundi lkn nimefanikiwa kupata tunayeendana ambaye nae kapitia masongombingo...

Thanks
 
[emoji15]

Sikuzote nataka Ivo ila kuwe na reasonable....siyo umeniachia majukumu ya kulea familia afu unataka unitawale [emoji15] aisee hapo lazima ngoma ikae[emoji34]
Uko sahihi mrembo
 
Asante Kwa ushauri ila nakushauri pia bora uoe asiye na kaz hautokuwa na kitu Cha kukuumiza
Kabisa anayemmudu

Sababu wasio na kazi wapo

Ukiona mwanamke mwenye kazi humuwezi oa asiye na kazi

Ukiona mwanamke msomi humuwezi oa asiyesoma

Ili waache hizi kelele

Oa unayemuweza

As simple as that
 
Back
Top Bottom