Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Duuh! Mkuu kakufanyaje Hadi ufike mbali hivo? Kama ni cheating ni mambo ya kawaida.

Kama anakulazimisha kwa mpalange mwambie hutaki na kitendo hicho ni kinyume na mpango wa Mungu.
Hajawai niambia huo ushetani aisee mambo ni mengi tu ya ajabu
 
Sijui kama upo sawa kichwani!

Humo kwenye bold umeelewa ulichoandika?how muapiane kutozikana kisha ndoa iwe tamu?au kwa sababu unakula unashiba unalala pazuri ndo unaona ndoa tamu......kama sababu ni hizo nikisema uliolewa kwa sababu ya njaa nitakuwa nakosea?
Pole haunijui vizuri.....sina njaa sina shida ya kusema lazima nikae na mwanaume....ndoa ni nzuri mkielewana mkawa na familia yenye upendo siwezi sema ndoa mbaya kisa yangu haija make it mkuu sjui umenielewa? Za wengine zinaenda vizuri japo ups n down hazikosi kwahivyo nasema NDOA NI NZURI....vijana waoe wanapokataa kuoa wanataka waolewe wao?
 
Mimi nakushauri hili swali lirudishe kwa baba yako kama bado anaishi na mama,huyu ndiye atakupa picha halisi ya maisha ya ndoa na ndoa yao itakuwa mwalimu tosha kwako.
Huwezi kucopy maisha ya ndoa ya mtu mkafanikiwa bana ndoa ili I'd idumu ni nyie wenyewe kurekebishana, kusameheana, kuhurumiana, kuvumiliana, na mengine ambayo yatawaweka pamoja
 
Ndoa zina mambo nyieeee naishi na mume wangu ambaye sina hisia naye kabisaaa hata akifa sahii sjui kama nitadondosha chozi, hata yeye nishamtamkia ikitokea nikafa asilie wala asinizike awape maiti yangu ndugu zangu wazike nlisema kwa uchungu na kwa kumaanisha mbele ya watoto na wazazi wangu aisee kuna maudhi unafanyiwa kwa mwanamke kuyaeleza mbele za watu unaona sio sawa unaamua kunyamaza....ila NDOA NI NZURI.....
Duh ona Sasa mpaka inafikia hatua mnatamkiana maneno makali hivi why lakn...maisha yenyewe mafupi haya why mnaishi hivyoo
 
Back
Top Bottom