Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Changamoto zipo tu uwe bachelor uwe umeoa lazima utakutana na changamoto tu, usiogope kuoa kisa kuogopa utapewa talaka. Ikipatikana nafasi oa mipango ya kuachana au kuzeeshana anayejua ni Mungu tu.
 
Leo hii, mm Sexless, kungwi la kitaa nimetoka kupewa malalamiko na mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 34.

Mwanaume huyu analalamika kuwa mkewe kamkimbia na kumuachia watoto 3 (wenye umri wa miaka 6, 4, na 1 Na miezi 8).

Hiwezi amini baba huyu anatoa machozi kabisa kwa kile alichotemdewa na mwanamke huyu
For sure malalamiko ya wanandoa yameshika hatamu hivi sasa.

Ningependa kujua mtazamo wako kwanini wanaume ndo wamekua walalamikaji ukilinganisha na upande wenu.. huoni kama wanawake kuna sehemu mnakosea inatakiwa mrekebishe.?
 
Changamoto zipo tu uwe bachelor uwe umeoa lazima utakutana na changamoto tu, usiogope kuoa kisa kuogopa utapewa talaka. Ikipatikana nafasi oa mipango ya kuachana au kuzeeshana anayejua ni Mungu tu.
Maisha siyo sawa na mchezo wa karata. Maisha ni mipango.

Kwann unashauri mtu afanye jambo la kubahatisha kiasi hicho??
 
alisema nami sitawaacheni na nyege kiasi cha kushindwa kuhimili ntawatumie ndugu mamujee naye atawafariji
 MARRIAGE IS A SCAM
Can you please support your argument or else itakua ni propaganda tu.

Sioni kama kuna sababu ya kupingana na nature unless mtu kaamua kuwa padre/sister/Nabii n.k
 
Changamoto zipo tu uwe bachelor uwe umeoa lazima utakutana na changamoto tu, usiogope kuoa kisa kuogopa utapewa talaka. Ikipatikana nafasi oa mipango ya kuachana au kuzeeshana anayejua ni Mungu tu.
Well said mkuu, lakini kwa sasa kilichopo uko kwenye ndoa sio changamoto tena bali ni majanga.. huko ndani hakukaliki kabisa.

Ata kwa wale wanandoa ambao pengine jamii ilikua inajua kabisa ina amani ukifuatilia kwa karibu utakuta mambo ni tofauti kabisa, wanatamani kutoka kwenye icho kifungo
 
Leo hii, mm Sexless, kungwi la kitaa nimetoka kupewa malalamiko na mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 34.

Mwanaume huyu analalamika kuwa mkewe kamkimbia na kumuachia watoto 3 (wenye umri wa miaka 6, 4, na 1 Na miezi 8).

Hiwezi amini baba huyu anatoa machozi kabisa kwa kile alichotemdewa na mwanamke huyu
Na laiti ukimskiza mwanamke aliyekimbia na kuacha watoto utabaki mdomo wazi, unaweza kuta amevumilia toka ana mtoto mmoja anajipa moyo labda muda ukisonga yatakwisha, imefika muda AMECHOKA! Ni vile mwanaume akiongelea mapungufu ya mwanamke yanaonekana saaana kuliko mwanamke huyu aliyevumilia bila kusema akihofia watanionaje, ntaenda wapi nimeshazaa, kule mtaani/ kijijini kwetu nkirudi watanisema mno.
 
For sure malalamiko ya wanandoa yameshika hatamu hivi sasa.

Ningependa kujua mtazamo wako kwanini wanaume ndo wamekua walalamikaji ukilinganisha na upande wenu.. huoni kama wanawake kuna sehemu mnakosea inatakiwa mrekebishe.?
Mwanaume anawahi kulalamika kwa sababau haezi vumilia yale anayomtendea mwanamke, mwanamke anaweza jipa muda wa kuvumilia hadi amalizane na idadi ya watoto anaotaka kuzaa, aka akavumilia kabisaa...ila kuna wengine vichwa vyao na mioyo dada vumi hayumo akiamua kulipiza hata kidogo kidogo anayofanyiwa lazima yaonekane makuuubwa mwanaume analia kabisa
 
Ndoa zina mambo nyieeee naishi na mume wangu ambaye sina hisia naye kabisaaa hata akifa sahii sjui kama nitadondosha chozi, hata yeye nishamtamkia ikitokea nikafa asilie wala asinizike awape maiti yangu ndugu zangu wazike nlisema kwa uchungu na kwa kumaanisha mbele ya watoto na wazazi wangu aisee kuna maudhi unafanyiwa kwa mwanamke kuyaeleza mbele za watu unaona sio sawa unaamua kunyamaza....ila NDOA NI NZURI.....
 
Mimi nakushauri hili swali lirudishe kwa baba yako kama bado anaishi na mama,huyu ndiye atakupa picha halisi ya maisha ya ndoa na ndoa yao itakuwa mwalimu tosha kwako.
 
Ndoa zina mambo nyieeee naishi na mume wangu ambaye sina hisia naye kabisaaa hata akifa sahii sjui kama nitadondosha chozi, hata yeye nishamtamkia ikitokea nikafa asilie wala asinizike awape maiti yangu ndugu zangu wazike nlisema kwa uchungu na kwa kumaanisha mbele ya watoto na wazazi wangu aisee kuna maudhi unafanyiwa kwa mwanamke kuyaeleza mbele za watu unaona sio sawa unaamua kunyamaza....ila NDOA NI NZURI.....
Sijui kama upo sawa kichwani!

Humo kwenye bold umeelewa ulichoandika?how muapiane kutozikana kisha ndoa iwe tamu?au kwa sababu unakula unashiba unalala pazuri ndo unaona ndoa tamu......kama sababu ni hizo nikisema uliolewa kwa sababu ya njaa nitakuwa nakosea?
 
Ni vile tu bongo kuna udhibiti kidogo wa raia kumiliki siraha(bastola) binafsi kiholela. La sivyo ndoa zingefanya wanawake wawe wanakula sana shaba za kichwa.
 
MUNGU aliweka taasisi ya ndoa vizuri tu. Binadamu ndio wabaya.Bado naamini Kuna watu wachache wanapata watu sahihi kwenye ndoa
 
Ndoa zina mambo nyieeee naishi na mume wangu ambaye sina hisia naye kabisaaa hata akifa sahii sjui kama nitadondosha chozi, hata yeye nishamtamkia ikitokea nikafa asilie wala asinizike awape maiti yangu ndugu zangu wazike nlisema kwa uchungu
Duuh! Mkuu kakufanyaje Hadi ufike mbali hivo? Kama ni cheating ni mambo ya kawaida.

Kama anakulazimisha kwa mpalange mwambie hutaki na kitendo hicho ni kinyume na mpango wa Mungu.
 
Back
Top Bottom