Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Ulichoandika ni Ukweli Usiopingika. Naongezea Hapo Tunyama. Upate Mwanamke uanemudu na pia

• Umfanye Awe Social na Economic Insecure. Hapo utampeleka Kama Rimoti.

Nawasilisha.
Lengo sio kumpeleka Mkuu
Lengo ni kumwongoza na stability
Nawasilisha
 
Narudia tena
Soma na uelewe vema
Nimetoa more than one determinant na nyingine sijaandika ila sifa za kiongozi bora ni kumudu majukumu yake vema ikiwemo wale anaowaongoza.

Mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja

Nawasilisha
ngoja nisubirie wengine ila nimependa mdau mmoja hapo amesema chukua unayemmudu ila hakikisha unamfanya financial insecure hapo utaishi maisha matamu sana lakini hawa manaokimbizana kulipa Board Loan......uanze kuniambia nina degree, mara nataka nikasome masters, sijui niko busy kazini..Mpendwa aolewa na hiyo digrii yako
 
Acha uoga wa maisha na inferiority complex
Mwache afanye kazi na wewe pambana kwa faida ya familia.

Tunasomesha binti zetu ili waje kuwa mama wa nyumbani?

Lengo la Mungu kumuumba mwanamke sio tu kuwa msaidizi , msaidizi ni moja ya malengo kati ya mengi ila kuna kusudi ambalo limewekwa ndani yake na Kichwa kinapaswa kumsupport na kumuongoza katika hilo pia

Sema tu baadhi mabinti wa kisasa wanalelewa na ufeminist kuwa nipate kazi mwanaume asinizuzue, that is mistake.

Ila mwanamke kuwa na kazi/ biashara/ kipato ni kitu chema na kinapaswa kuwa supported na mwanaume yoyote mwenye akili/kichwa.
 
Umeongea vitu vingi sana ebu rudi kwenye hoja ya Mume kuwa Kichwa? sasa mbona umeleta Ufeminism tena? sasa lipi linapshwa kufanyika Mwanaume akawa Kichwa cha Familia na niwakati gani? Nitashukuru ukilifafanua unaweza nibadilisha kuniondoa kwenye uoga uliousema
 
Ufafanuzi

Ufafanuzi nisaidie hivi Wanawake mnakuwa manamaanisha nini mkisema .. Mwanaume ni Kichwa cha Familia??? Kama ni Kichwa cha Familia kwa nini akikwambia acha kazi unashupaza shingo? Ukichwa mnaousema upo kwenye upande upi.. Wakugegeda au?
Mhh kuacha kazi tena😅
 
In summary

Mwanaume by nature ni kichwa na hiyo ndo asili ya uumbaji ni wewe tu kujua namna ya kutumia nafasi yako na usimame vpi kuongoza familia..Haiitajiki ufoke ili uwe kichwa au useme mimi ndo baba wa hii familia ili iwe kichwa, au umwachishe kazi mke wako kibabe ili uwe kichwa...

Sina maelezo ya ziada mkuu
Kama hujaelewa hapa basi soma maandiko utazidi kuelewa as sitakuwa na jibu la ziada zaidi ya hili

Kichwa ni asili ya uumbaji wa kiMungu
Usiku mwema.
 
turudi kwenye Maandiko..... Adam na Hawa? What went wrong? Adam hakuwa Kichwa? Kwa nini Hawa hakujua uwepo wa Kichwa ndani hadi kuchepuka na kupiga story na Nyoka?
 
Ulichoandika ni Ukweli Usiopingika. Naongezea Hapo Tunyama. Upate Mwanamke uanemudu na pia

• Umfanye Awe Social na Economic Insecure. Hapo utampeleka Kama Rimoti.

Nawasilisha.
Ehh hivi hili ndio lengo la ndoa/mahusiano?
 
Ufafanuzi

Ufafanuzi nisaidie hivi Wanawake mnakuwa manamaanisha nini mkisema .. Mwanaume ni Kichwa cha Familia??? Kama ni Kichwa cha Familia kwa nini akikwambia acha kazi unashupaza shingo? Ukichwa mnaousema upo kwenye upande upi.. Wakugegeda au?
Bonge la offer,,,,yaan mi naacha chap aisee
 
Nakukunda umeelewa hapa kwa mkupuo
Nioneshe sehemu niliyosema ni kanuni

Nimesema kummudu kiwe kigezo kati ya vigezo vyako vingi ambavyo mimi sivijui

Na nimesema (not all size fit for all)

Nitakuwekea mikono uelewe

Kikubwa acha negative attitute kwa wanawake

Wanawake ni wasaidizi na watu wema sana .special creation na Mungu alitulia sana alipowaumba.
 
Mkuu vipi wewe umeshaoa/olewa tayari?
Unammudu mwenzi wako? Maana tunaweza kummudu leo afu kesho ukamshindwa, sio kwa sababu ya kushindwa kumhudumia Ila inatokea amekutana na shule mpya inayomfanya ajihamishe kutoka level za akina Ashura ndala ndefu na kuji-upgrade kuwa level za akina Wema Sepetu, na kinyume chake, itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…