Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Duuh! Mkuu kakufanyaje Hadi ufike mbali hivo? Kama ni cheating ni mambo ya kawaida.

Kama anakulazimisha kwa mpalange mwambie hutaki na kitendo hicho ni kinyume na mpango wa Mungu.
Hajawai niambia huo ushetani aisee mambo ni mengi tu ya ajabu
 
Pole haunijui vizuri.....sina njaa sina shida ya kusema lazima nikae na mwanaume....ndoa ni nzuri mkielewana mkawa na familia yenye upendo siwezi sema ndoa mbaya kisa yangu haija make it mkuu sjui umenielewa? Za wengine zinaenda vizuri japo ups n down hazikosi kwahivyo nasema NDOA NI NZURI....vijana waoe wanapokataa kuoa wanataka waolewe wao?
 
Mimi nakushauri hili swali lirudishe kwa baba yako kama bado anaishi na mama,huyu ndiye atakupa picha halisi ya maisha ya ndoa na ndoa yao itakuwa mwalimu tosha kwako.
Huwezi kucopy maisha ya ndoa ya mtu mkafanikiwa bana ndoa ili I'd idumu ni nyie wenyewe kurekebishana, kusameheana, kuhurumiana, kuvumiliana, na mengine ambayo yatawaweka pamoja
 
Duh ona Sasa mpaka inafikia hatua mnatamkiana maneno makali hivi why lakn...maisha yenyewe mafupi haya why mnaishi hivyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…