Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

Mkiambiwa CCM haifai tena kuendelea kuongoza hii nchi muwe mnaelewa. Hawa ni mashetani wasioogopa kulitaja jina la Mungu. Kesho kapigeni kura kuwaondoa Madarakani na mzilinde kura zenu kweli.
Tuko busy kuhakikisha Amsterdam hapati mbunge hata mmoja.

Kwanza mnalilia mitandao utafikiri mna cha maana mnachofanya humo kumbe ni umbea tu
 
Mbona internet ipo vizuri sana jamani! Mmewezaje kucomment hapa comments zenu?

Acheni visingizio aisee.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hii ni mbaya sana aisee.

Wanasahau kwamba kuna baadhi ya watu vipato vyao vinategemea hii mitandao ya kijamii.

Tuna serikali ya ajabu haijawahi kutokea.
 
Tunaongozwa na binadam wasio na sifa ya utu. kilimit speed ya internet na kufunga baadhi ya mitandao ya kijamii ni ujinga mkubwa Sana. Hii inatupa hasira Sana kuelekea siku ya kesho.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ingieni road kukinukisha sasa
 
daaaah politicians are very low
very selfish

wanafanya kitu cha kuumiza watu mamilioni kwa ajili ya manufaa yao.

Leo kazi zimestuck za watu ambao hawajihusishi hata na hizo siasa majitaka.
kweli siasa za maji taka. GB zangu zinakufa yaani . . . .shenzi taipu
 
Kila anaye husika kutukatia mtandao usifanye kazi ni mpuuzi na mpumbavu sana, nimeteseka mapaka basi tena, order za bidhaa zangu china zimakwama sana nashindwa nifanyeje. uhuni ni uhuni tu. kama mtu anajiamini anapendwa unawezaje kutufungia mitandao maana yake una matatizo ya akili hujiamini
 
Maneno hayajawahi kuondoa tatizo kesho ndio siku yakuondoa ujinga wote piga Kura kwenye Uhuru Haki na Maendeleo ya watu ondoa ulalamishi pigia Kura LISU
 
Asubuhi hata kupiga simu ilishindikana! Mitandaoni ndio kabisa simu inasoma 4g lakini hata whatsapp ikawa haiwezi mpaka nilipoamua kutumia VPN.

Tumieni VPN tuendeleze spana!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…