Eliya Dawa
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 270
- 164
Hukuweka stoplossLeo nimekula loss sio siri
DuuuuhhHuu ni mwanzo tu,kuna giza kubwa zaidi mbeleni
Kwa hili lilotokea leo nimejifunza aiseeHukuweka stoploss
Usitrade bila stoploss bhana
We waache kesho tuna jambo letu!Wanakera Sana ina maana sisi wananchi ni wajinga Wana fear of unknown
Inakakera hivi nchi imekuwa Rwanda ghaflaNimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.
Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za wananchi kuja na utekelezaji wa jambo hili la kipuuzi.
Hali hii imeathiri baadhi ya kazi za watu na hivyo kuwakosesha kipato.
Tunaitaka Serikali aiche mara moja kuingiia mitandao ya kijamii na intaneti ili watu waedelee na maisha yao ya kawaida. Hatujawahi kushuhudia upuuzi kama huu na tumekuwa na uchaguzi miaka nenda rudi.
Yaaani kesho wa Kwanza kituoni saa moja kasoro, hii Hali inakera sanaWe waache kesho tuna jambo letu!
Ma bank nayo yamepata hasaraKuna mtu alisema tweeter kwamba Benki zitafungwa hatukuchukulia serious. ATM hazifanyi kazi na mitandao ya benki leo yote tabu tupu hii ni kero kwa hakika and there must be economic impact.
Kuanzia sasa yote anayosema Kigogo tuyachukulie serious.
Wachache wapumbavu,huwaponza wengi wasio na upumbavu.jitu linakaza magego jukwaani nitatengeneza ajira kwa vijana!!!wakati limepanga kuzima mitandao,hao waliojiajiri kupitia mitandao wakale wapi sasa
wewe utakua wapi kipindi sisi tunalinda kura au ndo wewe unaenda kwa mkeo sisi tunatoana meno na policeMkiambiwa CCM haifai tena kuendelea kuongoza hii nchi muwe mnaelewa. Hawa ni mashetani wasioogopa kulitaja jina la Mungu. Kesho kapigeni kura kuwaondoa Madarakani na mzilinde kura zenu kweli.
wewe utakua wapi kipindi sisi tunalinda kura au ndo wewe unaenda kwa mkeo sisi tunatoana meno na police
Serikali tuliyoichagua wenyewe inatufanyia uharamia.Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.
Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za wananchi kuja na utekelezaji wa jambo hili la kipuuzi.
Hali hii imeathiri baadhi ya kazi za watu na hivyo kuwakosesha kipato.
Tunaitaka Serikali aiche mara moja kuingiia mitandao ya kijamii na intaneti ili watu waedelee na maisha yao ya kawaida. Hatujawahi kushuhudia upuuzi kama huu na tumekuwa na uchaguzi miaka nenda rudi.
Acha upumbavuMtu kula hasara ya siku 2 ili kunusuru nchi isiangukie mikononi mwa vibaraka kina Amsterdam si dhabi
Jf ikifungwa huu utopolo utaenda kumwandikia demu wako ?Wewe twitter unaenda kufnya nini zaidi ya kumfollow kigogo?
Si umeona sasa selikali ilivyo na nguvu? Maana mlikuwa manajishaua humu hoo kigogo atawanyoosha. Subiri kesho na jf ipigwe chini