Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

Ila kwa hiki walichokifanya wamethibitisha kwamba wanaogopa nguvu ya umma
 
Kura ya mapema Zanzibar ilivopigwa
IMG-20201027-WA0012.jpg
IMG-20201027-WA0011.jpg

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kishindo cha awamu ya tano tutembee kifua mbere ndg zangu watanzania
 
Kuna mtu alisema tweeter kwamba Benki zitafungwa hatukuchukulia serious. ATM hazifanyi kazi na mitandao ya benki leo yote tabu tupu hii ni kero kwa hakika and there must be economic impact.

Kuanzia sasa yote anayosema Kigogo tuyachukulie serious.
 
Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.

Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za wananchi kuja na utekelezaji wa jambo hili la kipuuzi.

Hali hii imeathiri baadhi ya kazi za watu na hivyo kuwakosesha kipato.

Tunaitaka Serikali aiche mara moja kuingiia mitandao ya kijamii na intaneti ili watu waedelee na maisha yao ya kawaida. Hatujawahi kushuhudia upuuzi kama huu na tumekuwa na uchaguzi miaka nenda rudi.
Inakakera hivi nchi imekuwa Rwanda ghafla
 
Ndio haya mambo Lissu anazungumza kuhusu uhuru na haki za watu
 
Kuna mtu alisema tweeter kwamba Benki zitafungwa hatukuchukulia serious. ATM hazifanyi kazi na mitandao ya benki leo yote tabu tupu hii ni kero kwa hakika and there must be economic impact.

Kuanzia sasa yote anayosema Kigogo tuyachukulie serious.
Ma bank nayo yamepata hasara
 
Mkiambiwa CCM haifai tena kuendelea kuongoza hii nchi muwe mnaelewa. Hawa ni mashetani wasioogopa kulitaja jina la Mungu. Kesho kapigeni kura kuwaondoa Madarakani na mzilinde kura zenu kweli.
wewe utakua wapi kipindi sisi tunalinda kura au ndo wewe unaenda kwa mkeo sisi tunatoana meno na police
 
Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.

Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za wananchi kuja na utekelezaji wa jambo hili la kipuuzi.

Hali hii imeathiri baadhi ya kazi za watu na hivyo kuwakosesha kipato.

Tunaitaka Serikali aiche mara moja kuingiia mitandao ya kijamii na intaneti ili watu waedelee na maisha yao ya kawaida. Hatujawahi kushuhudia upuuzi kama huu na tumekuwa na uchaguzi miaka nenda rudi.
Serikali tuliyoichagua wenyewe inatufanyia uharamia.

Haikubaliki
 
Sisi mataga wala halijatugusa hili. Lumumba ili supply internet vzr tu poleni.

Cc: bia yetu
 
Back
Top Bottom