Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

daaaah politicians are very low
very selfish

wanafanya kitu cha kuumiza watu mamilioni kwa ajili ya manufaa yao.

Leo kazi zimestuck za watu ambao hawajihusishi hata na hizo siasa majitaka.

inatia hasara to the extent
ndo ukatimize wajibu wako kulisaidia taifa letu tukufu kuondokana na huu ushamba asee
 
Tunaongozwa na binadam wasio na sifa ya utu. kilimit speed ya internet na kufunga baadhi ya mitandao ya kijamii ni ujinga mkubwa Sana. Hii inatupa hasira Sana kuelekea siku ya kesho.

Binadamu kama huyo hwawezi kushindwa kuua ile awe raisi wa milele!
 
Kuna moja baada ya kuona Watanzania wamemkataa anatukana kila mtu Kwasababu anatikit mkononi ya kurudi ubeligiji
 
Unaonekana umebarehe juzi. 2015 ilikuwa hivi hivi hata JF ilizimwa 2015. Be prepared boss.
Wajinga hao.

Watu wako busy kuhakikisha Amsterdam hapati hata mbunge mmoja.

Nchi hii ni kubwa kuliko Amsterdam na kibaraka wake
 
Twitter kwangu imegoma kabisa.wengine hatuhusiki Na uchaguzi.what a shhit move
Wewe twitter unaenda kufnya nini zaidi ya kumfollow kigogo?

Si umeona sasa selikali ilivyo na nguvu? Maana mlikuwa manajishaua humu hoo kigogo atawanyoosha. Subiri kesho na jf ipigwe chini
 
Hela ya bundle ukose wewe halafu ulaumu serikali jilaumu mwenyewe
Hapa ame comment kwa kutumia nini?

Watu wako serious mambo yao yanakwama, unakuja kuongea kama vile hata la 3C hujafika!

Watu tunapata hasara, ni wajibu wetu kuwaambia viongozi! Usilete uchadema na uccm hapa! Sio kila mtu ana anashabikia siasa.
 
Back
Top Bottom