Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo swala la uchakavu limezungumziwa muda mrefu na tuliambiwa baada ya makamba kuwa waziri wanafanya ukarabati . Tatizo kutakuwa jingine.sasa hivi 30-45 % ya umeme unazalishwa unapotea kwa sababu ya uchakavu wa njia ya kusafirishia umeme. Tutakuwa pale pale
Anayeteua Mkurugenzi wa TANESCO na Mwenyekiti wa Bodi ni Rais na ndiye mwenye mamlaka ya kuivunja hiyo Bodi. Naibu Waziri Mkuu unamuonea tu.Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna upungufu wa umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
Sahau hilo. Hata bwawa likikamilika litaibuka tatizo lingine litakalopekea tuishi gizani.Upungufu wa umeme utapata suluhisho baada ya kukamilika bwawa la Nyerere au nasema uongo Ndugu zangu?
Mkuuunajua kazi ya bodi kweli? Nina mashakaBaraza la Wakurugenzi TANESCO liloundwa chini ya Waziri Makamba limejaa wazee na wafanyabiashara ingefaa livunjwe maana haliwezi kuiongoza na kuidhibiti TANESCO.
Kuna Mwenyekiti Muarabu hatujui CV yake. Kuna mama majaar huyu mzee kila bodi karibu awamu zote anawekwa. Kuna mtu anaitwa gachuma ni mfanya biashara mkubwa sidhani ana utaalam wowote wa uzalishaji umeme.
Haya mambo ya watu walewale kwenye bodi za mashirika makubwa wakati kinachooneka ni upigaji tu tukomeshe.
TANESCO ngazi ya Baraza la Wakurugenzi kunahitajia nguli wenye uzoefu mambo ya umeme uongozi na mambo ya fedha. Vinginevyo ni yaleyale mambo ya bodi kuweka au kuwalinda wapigaji kwenye management ya shirika
Mkuu umeme ulifikishwa Mara kwa grid ya taifa 1986 WEWE sijui ulikuwa wapi; Kama wewe umukomaa hivyo, hizo nyaya zina hali gani?Hilo swala la uchakavu limezungumziwa muda mrefu na tuliambiwa baada ya makamba kuwa waziri wanafanya ukarabati . Tatizo kutakuwa jingine.
Yaani kama kuna instituution ambayo ni bogus ni TANESCO.Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna upungufu wa umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
Mkuu kama Bodi aliyeiunda ni January,ambaye ni bogus,hakuna shaka yeyote kwamba na yenyewe ni bogus,kwa hiyo ni kweli na yenyewe iondoko.Mkuuunajua kazi ya bodi kweli? Nina mashaka
Hivi ulisikia kauli take baada ya kuteuliwa waziri wa nishati na umeme ukaanza kukatika hivyohivyo.Mkuu umeme ulifikishwa Mara kwa grid ya taifa 1986 WEWE sijui ulikuwa wapi; Kama wewe umukomaa hivyo, hizo nyaya zina hali gani?
Mwenyew nashangaa 😂😂aondolewa kwasababu gan? Wakat wote ni ukoo wa panya hakuna msafi!! Nashaur apewe kitengo kingine kuliko aondolewa maan hakuna msafi humo!!Wako Watu wanasema Sema Eti Mh Maharage aondolewe Tanesco, sasa unajiuliza bosi wake Waziri Makamba kaongezewa hadhi kwa kuteuliwa Wizara nyeti zaidi sasa why Maharage aondolewe?
Mwacheni achape Kazi na matokeo ya Kazi zake tutayapima mbeleni.
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
Hadhi Mambo ya Nje? Kuzidi Nishati?? You are jokingWako Watu wanasema Sema Eti Mh Maharage aondolewe Tanesco, sasa unajiuliza bosi wake Waziri Makamba kaongezewa hadhi kwa kuteuliwa Wizara nyeti zaidi sasa why Maharage aondolewe?
Mwacheni achape Kazi na matokeo ya Kazi zake tutayapima mbeleni.
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
Kwann amwombe Rais wakati Yeye ni Naibu waziri mkuu?Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna upungufu wa umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
Mkuu usitetee uzembe obvious.Ukarabati ni jambo continuous,kwa hiyo huwezi leo kumuambia Mtanzania hana umeme kwa kuwa eti nyaya ziliwekwa 1989.Zilitakiwa ziwe zimeshaondolewa na kuweka zingine!Mkuu umeme ulifikishwa Mara kwa grid ya taifa 1986 WEWE sijui ulikuwa wapi; Kama wewe umukomaa hivyo, hizo nyaya zina hali gani?